Benard Membe kacheza muvi ya ki-Nigeria.....

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Ili sinema ikamilike, hata kama ni part I lazima iwe na mwanzo wake na mwisho wake. Ikiendelea part II inakuwa ni season nyingine. Ni muvi za kitapeli kutoka Nigeria ndio huwa zinakatishwa katikati kwa kisingizio cha kumalizia katika part II. Sasa mheshimiwa Membe anaponyanyua bango na kushindwa kuwaweka hadharani anakuwa kama star wa muvi ya Nigeria. Kama hakuona ulazima wa kuwataja basi asingedokeza kwa sababu anatuachia sisi kazi ya ku-guess wakati majibu anayo. Kwa kusaidia kuimalizia hii muvi, adui mmoja ni Mudhihir ambaye hata ajali yake ilisemwa ni Membe alijaribu kumlimboka kwa teknolojia za jadi. Hii muvi kuimalizia mwenyewe ni ngumu, karibuni muongeze vipande ili tumalize kiu yetu
 
Anaweza akawa na pointi lakini kwa sarakasi zake na jinsi ambavyo CCM ina viongozi ambao hawajui kipi cha kufanya tatizo likitokea, nadhani ndo amemaliza hivyo, ustarajie zaidi ya hicho.
 
Yuko kwenye kampeni za uraisi 2015, hana lolote.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hiyo movie mkuu ndo imeisha hivyo hakuna jingine!
Inakuwa kama ya kihindi!
 
Nimemuona hata mimi lkn nimeona bado mchanga hata dhaifu anamzidi anaonekana hana uvumilivu wa kisiasa kwa wapinzani anadai wabunge wa upinzani watashindwa kwenye uchaguzi kwani hakutakuwa na maendeleo kwao,nikapata jibu kuwa kumbe wananyimwa miradi ya maendeleo ili waonekane hawafai,kazi ipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom