Ben Ali kumbe kafichwa kwenye hili mansion.................Saudi Arabia............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
2011115172511588965_20.jpg

<table width="100%" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr id="trHeadline"><td class="articleTitle" valign="top">Ben Ali gets refuge in Saudi Arabia </td> </tr> <tr> <td class="Tmp_hSpace10">
</td></tr></tbody></table>


The Saudi government welcomed Ben Ali on Friday, ushering him to a heavily guarded palace in Jeddah [AFP] Zine El Abidine Ben Ali, Tunisia's former president, has taken refuge in Saudi Arabia following a mass public uprising and weeks of deadly protests.
Saudi Arabia confirmed on Saturday that he and his family have been welcomed into the kingdom due to "exceptional circumstances" in Tunisia.
 
kweli.................viongozi wa kiafrika ni kiboko..........vijana hawana kazi lakini viongozi wanaziiba na kuzipeleka fedha mafichoni...................................How absurd..................................and pathetic....................
 
Ila mimi ugomvi wangu uko kwa hawa watu weupe.... wanajua kabisa viongozi wa kiafrika wanaiba hizo hela wanazotupa na bado wanaendelea kutupa na kuongeza madeni tu!!!!! Rejea report ya UNDP kuhusu mendeleo duniani 'Human Development Report 2010' :frog:
 
Huyu jamaa hajaRESIGN huko Tunisia....ametoka kwa muda tu ili hali iwe shwari. Anaweza kurudi tena baada ya hali kutulia!!
 
Hongera watunisia,watanzania tutabaki na uoga wetu mpaka kiama
 
Back
Top Bottom