masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,172
View attachment 60840
Hapa nchini kuna raha sana , nimikuta hii sehemu fulani nchini, ng'ombe wakila breeze la week end!!
Halafu tunasema ni binadamu tu tunapenda raha.
Unaweza kujua hapa wapi?