Believe it or not -ngombe wakila breeze!!!

Hapo nimeona ntajibu kesho kama ng'ombe mwenye macho haambiwi tazama.
 
Masopakyindi, hapo ni singida ziwa singidani, umepiga picha ukiwa country inn suites.
 
Mi nadhani hawa ni wale ng"ombe waliozama kwenye ile meli sasa wameogelea mpaka kigamboni
 
Masopakyindi, hapo ni singida ziwa singidani, umepiga picha ukiwa country inn suites.
Kanyapini, umepatia malafyale!
Hapo ni Lake Singidani ila sikuwa kwenye hizo suites, nilienda ufukweni kabisa na the situation was radher odd,Ng'ombe ufukweni is a rare occassion anywhere in the world.
 
Kanyapini, umepatia malafyale! Hapo ni Lake Singidani ila sikuwa kwenye hizo suites, nilienda ufukweni kabisa na the situation was radher odd,Ng'ombe ufukweni is a rare occassion anywhere in the world.
Ndagha fijo kikolo, umenikumbusha singida, nishawahi kutembelea pande hiyo. Nice picts
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom