Believe it or not men are every where!

HATA MBUGANI,WANYAMA WAJINGA,WASAHAULIFU NA WASIOKUWA NA UMUHIMU,HUZALIWA KWA WINGI SAAANA(MFANO:NYUMBU).HATA KWA UPANDE WA JINSIA KWA WANADAMU NI HIVYO HIVYO,JINSIA ZISIZOKUWA MUHIMU,WASAHAULIFU KUPINDUKIA HUZALIWA KWA WINGI KWELI(mimi sijui ni jinsia gani hiyo ambayo=nyumbu)

unadhani ulichokiandika kinaendana na hii joke ya Asha?boy,be wise for the heavenly sake...:nono:
 
HATA MBUGANI,WANYAMA WAJINGA,WASAHAULIFU NA WASIOKUWA NA UMUHIMU,HUZALIWA KWA WINGI SAAANA(MFANO:NYUMBU).HATA KWA UPANDE WA JINSIA KWA WANADAMU NI HIVYO HIVYO,JINSIA ZISIZOKUWA MUHIMU,WASAHAULIFU KUPINDUKIA HUZALIWA KWA WINGI KWELI(mimi sijui ni jinsia gani hiyo ambayo=nyumbu)

mkuu umeenda mbali zaidi na haipendezi,ukiona huna cha kuandika si lazma unadhalilisha jinsia kwa kufananisha na nyumbu! Too low. BTW Asha asante kwa huu utani mzuri,tunawathamini sana bila nyie.......
 
HATA MBUGANI,WANYAMA WAJINGA,WASAHAULIFU NA WASIOKUWA NA UMUHIMU,HUZALIWA KWA WINGI SAAANA(MFANO:NYUMBU).HATA KWA UPANDE WA JINSIA KWA WANADAMU NI HIVYO HIVYO,JINSIA ZISIZOKUWA MUHIMU,WASAHAULIFU KUPINDUKIA HUZALIWA KWA WINGI KWELI(mimi sijui ni jinsia gani hiyo ambayo=nyumbu)

Senseless, scoundril get back to ur hell. Yaani umesoma tangu chekechea hadi hapo ulipofikia, ukaongezea na elimu ya ziada (mtaani, dini, wazazi) ukapata certificates zakuandika maumbuzi kama haya khaaaa! Rat in the kitchen.
 
Bacha; Asha ngedere tumecheza wote, hivyo ile attitude ni mtaa mmoja.
 
Samahani sana kwa wale wote nilio wakwaza kwa reply yangu.Sijui ni kwa nini ila sikuupenda mwenendo na mwelekeo wa hii thread kwa upande wa wanaume.But whatever it is,mimi ndo nina makosa,that is why nakuombeni msamaha nyote and i hope you will forgive me and forget about my harassing reply.Thanks in advance to whoever will forgive me and maximum respect to you LADIES!
 
Jaguarpaw THANK YOU for your apology. That was big of you, and ckumanisha vibaya it was just for fun.
 
HATA MBUGANI,WANYAMA WAJINGA,WASAHAULIFU NA WASIOKUWA NA UMUHIMU,HUZALIWA KWA WINGI SAAANA(MFANO:NYUMBU).HATA KWA UPANDE WA JINSIA KWA WANADAMU NI HIVYO HIVYO,JINSIA ZISIZOKUWA MUHIMU,WASAHAULIFU KUPINDUKIA HUZALIWA KWA WINGI KWELI(mimi sijui ni jinsia gani hiyo ambayo=nyumbu)

nenda mwananyamala hosptl utapata takwimu kama sampo yako
 
Back
Top Bottom