Sijui ni mimi tu au kuna wengine kama mimi, siwezi hata siku moja kumtamani housegirl hata kama nina ukame au tamaa kuna wangapi huko nje ?,wanaume wa hivyo ni aina ya wabakaji wanafahamu kwakuwa binti anashida watamlazimisha tu.Jamani,beki 3 ananitega,beki 3 anatikisa masaburi mbele yangu,beki 3 anataka anakula kungu,beki 3 anadai hawezi kulala peke yake anaogopa...mke wangu yupo Igunga kwenye semina,nifanye nn mie?