Habari wana JF,
Mimi niko USA nafikiria kupeleka mabelo ya mitumba bongo kama ya viatu, jeans au mchanganyiko, na nataka kuuza kwa belo au jumla.
Swali langu ni hili;
Je, belo moja bei gani? Na hii biashara inalipa?
Kakojoe ulale bado unaakili zakitotoBelo ndo nini?
Mkuu we unafanya hii biashara?Inalipa mkuu
Kiongozi tutafutane tufanye biashara,Inalipa sana.+255 689 821 212
Mkuu we unafanya hii biashara?