Bei za Mabelo ya mitumba zikoje Bongo? Nataka kusafirisha kutokea huku USA

njechelle

Member
Jul 21, 2015
20
3
Habari wana JF,

Mimi niko USA nafikiria kupeleka mabelo ya mitumba bongo kama ya viatu, jeans au mchanganyiko, na nataka kuuza kwa belo au jumla.

Swali langu ni hili;

Je, belo moja bei gani? Na hii biashara inalipa?
 
Bongo wengi tunavaa mtumba japo hatujui viwanda vyake viko wap.... Wee leta tu mkuu
 
inalipa ila uwe very selective unalenga watu wa daraja gani.Nashauri leta viatu vya kike na vya grade A hata mimi ntakuwa mteja wako niuzie beli zima.Email:hamashod@gmail.com
 
Habari wana JF,

Mimi niko USA nafikiria kupeleka mabelo ya mitumba bongo kama ya viatu, jeans au mchanganyiko, na nataka kuuza kwa belo au jumla.

Swali langu ni hili;

Je, belo moja bei gani? Na hii biashara inalipa?

Kiongozi tutafutane tufanye biashara,Inalipa sana.+255 689 821 212
 
weka email basi watu tufanye business! wahindi wanatajirika hapa tz kwa kuletewa mitumba na ndugu zao kutoka nje!!
 
Back
Top Bottom