liverpool 1
Member
- Oct 13, 2014
- 79
- 11
Savey inalipiwa napenda,na maji yasipopatikana eneo hilo hatuwezi kuchimba maaana tutakuwa tunakuibia hela yako kwa kufanya hivyo lkn ni adimu saana maji kukosekana na mara nyingi labda utakuta tu yako mbali saana kwa hiyo itabidi tu kuchimba kwa umbali ambao maji hayo yatapatikana ndo maana ya kufanya savey na vipimo ili kujua ni mita ngapi hayo maji yatapatikana na sio kuchimba tu,kwa upande wa bei nampenda mpaka tufanye hivyo vipimo maana gharama hutofautiana kutokana na umbali wa hayo maji yanakopatikana