Bei ya mabati

Tores

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
551
475
Wadau naomba mtu yeyote mwenye uelewa kuhusu mabati, anijulishe mpya ya mabati ya versatile,gade 28 ya ALAF.
 
hongera kaka kwa kujenga sisi bado tunapanga -- hali inazidi kuwa mbaya sana, nilishawahi kuuliza bei ya sementi nikatoka mita duh wengi hatutajenga.
 
kwa wale ambao hatuna pa kufisadi mipesa ya umma au ya ngos mabati yetu ni yale yale ya wazee wetu ambayo price yake ni shilingi 18,000/=
 
Hivi bei ya yale ya migongo mipana ambayo yako pre-coated yanauzwaje? Naomba na mimi kijua bei plz
 
hongera kaka kwa kujenga sisi bado tunapanga -- hali inazidi kuwa mbaya sana, nilishawahi kuuliza bei ya sementi nikatoka mita duh wengi hatutajenga.

1. Bado unapanga lini na wapi utajenga?

2. Bado unapanga bei ya bati?

Samahani sijakuelewa kaka Fuso
 
1. Bado unapanga lini na wapi utajenga?

2. Bado unapanga bei ya bati?

Samahani sijakuelewa kaka Fuso
bado tunaishi nyumba za kupanga, kujenga sisi tumeshafuta mawazo kabisa kwa sasa tunahangaika na school feez za watoto na msosi tu. hayo mengine ya ujenzi ni ndoto; kwanza viwanja vyenyewe ugonjwa wa moyo, unless uamue kuhama mwenge uende kutafuta kisehemu majohe au kisalawe kule km 50 na zaidi toka airport. sasa hayo mateso ya nini wakati maisha yenyewe ya duniani ni mafupi tu.

Hii awamu ya huyu jamaa imetuchanganya wengi mno, hongera nyie mlio na access ya mzunguko wa pesa, sisi laki tano tano siku 30 ni mateso bila chuki.
 
hongera kaka kwa kujenga sisi bado tunapanga -- hali inazidi kuwa mbaya sana, nilishawahi kuuliza bei ya sementi nikatoka mita duh wengi hatutajenga.

usikate tamaa mkuu, hii ndo nchi yetu na wala usikate tamaa kama una mpango wa kujenga jenga sasa hivi kwan kila kukicha gharama zinapanda mi mwenyewe nimeenda kujenga kijijin kwetu lkn nilitaka kukimbia kwan cement nimenunua kwa 21500 kwa mfuko na sasa namshukuru mungu naona maendeleo sio mabaya
 
Hayo mabati ya ALAF yanapatikana barabara ya nyerere. mimi mwenyewe nina shida kweli. huku nilipo bati moja la futi 10 linauzwa 32,000. Ningepata mtu anipe angalau contacts za ALAF ili niagize directly
 
Inabidi uwe na roof plan (KAMA MFANO HAPA CHINI) halafu nenda nayo pale ALAF wanakupimia na kukupa makadirio........ukiwa na pesa wanakukatia kulingana na design ya paa lako

ranch-home-roof-plan.jpg
 
Hivi bei ya yale ya migongo mipana ambayo yako pre-coated yanauzwaje? Naomba na mimi kijua bei plz

The price is 7000-12,000tsh per ft.

nafikiria kuezeka kwa kutumia haya mabati ya ALAF migongo mipana (sijui jina lake halisi) nimecheck ni 13,000 per ft. kule nyerere road karibu n TAZARA. naomba wataalam mnishauri uzuri wa mabati haya au kama kuna mapendekezo mengine. NB sifikirii kutumia vigae kutokana na bajeti ila ningependa bati nzuri na imara zaidi
 
Mkuu hiyo bei ni kwa futi au mita? cheki vizuri kidogo
 
Mkuu hiyo bei ni kwa futi au mita? cheki vizuri kidogo[/QUOT
Nenda jeshini mkuu pale opposite na TIA utachagua bati unayotaka pale pale unatafuta mwanajeshi anakupa no. Ya kitambulisho unaondoka na mzigo mimi siamini jinsi nilivyoweza kupaua jumba langu kwa bati za migongo mikubwa za 2.4mil tuu!ujenzi wkt mwngn ni techniques mkuu!tena bati za jeshini zinatoka India na zina ratio kubwa ya aluminium so kushika kutu ni ndoto.
 
bado tunaishi nyumba za kupanga, kujenga sisi tumeshafuta mawazo kabisa kwa sasa tunahangaika na school feez za watoto na msosi tu. hayo mengine ya ujenzi ni ndoto; kwanza viwanja vyenyewe ugonjwa wa moyo, unless uamue kuhama mwenge uende kutafuta kisehemu majohe au kisalawe kule km 50 na zaidi toka airport. sasa hayo mateso ya nini wakati maisha yenyewe ya duniani ni mafupi tu.

Hii awamu ya huyu jamaa imetuchanganya wengi mno, hongera nyie mlio na access ya mzunguko wa pesa, sisi laki tano tano siku 30 ni mateso bila chuki.

hahaha mbavu zangu mie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom