Bei ya dekoda ya ting

the locksman

JF-Expert Member
May 5, 2012
1,101
350
Habari wakuu, nataka kujua bei ya dekoda ya TING kwa full set ikiwa na satellite dish yake.
Nimepita baadhi ya maduka Kariakoo nimefanikiwa kuona ile inayotumia antenna peke yake nikaambiwa hiyo ya antenna ni 120,000/- 'na malipo kwa mwezi ni 10,000/-. kwa anayefahamu ile ya dish kama pia malipo kwa mwezi ni 10,000/- au ni tofauti.
 
bei yake laki 2 malipo kwa mwez elf 20
 
Ting mim wananiudh sana, nimelipia 10,000 lakin chanel za mpira kama setanta sipat zote mbil hata ile ya action na hata mbc2 haipo. Wanakera sana hawa jamaa na nafikiria kuhama muda si mrefu ngoja nikajaribu huko azam
 
Mleta mada plz check king'amuzi kingine, hawa ting ni stress kukaa mwez mzima bila kutoonekana channels ni kitu cha kawaida, mimi ni muhanga natafta king'amuzi kingine, kama usipolipia channels zinazoonekana ni tbc1 na atn bac, hamna cha clouds, Chanel 10, eatv wala itv, sikushauri hata ununie hiki king'amuzi
 
Ahsante kwa taarifa mkuu, ngoja nijaribu AZAM TV ingawa na wenyewe local channels ni tbc ,Clouds tv na ch 10 sijui zingine wataweka lini. kama kuna mtu anajua atupe taarifa
 
Mleta mada plz check king'amuzi kingine, hawa ting ni stress kukaa mwez mzima bila kutoonekana channels ni kitu cha kawaida, mimi ni muhanga natafta king'amuzi kingine, kama usipolipia channels zinazoonekana ni tbc1 na atn bac, hamna cha clouds, Chanel 10, eatv wala itv, sikushauri hata ununie hiki king'amuzi

Hata mm Sikutaka kuchangia maana ningeoneka mnafiki ninaua biashara ya watu. Hawa TING hawafai kifurushi kikiisha unabaki na Channel mbili tu TBC1 na ATN hlf mm nimelipia wiki mbili zimepita mpaka sasa kuna channel zaidi ya sita hazipo hewani ukiwauliza wanakwambia ni matatizo ya kiufundi, hakuna cha mpira wala nini ni waongo sana. Hlf king'amuzi chao kinaonyesha wakiamua wanaweza kufunga hata siku nzima hawako hewani. Namshauri mleta mada atafute kingamuzi kingine.
 
asante mkuu,,pia unaweza nisaidia vinapatikana k/koo sehemu gani

kuna jamaa anauza friji nje na bango kubwa la TING baada ya kupita maduka ya shimoni, nadhani ni swahili . sijui vizuri mitaa ya pale ni sambamba na mtaa wenye maduka ya harwares
 
Hata mm Sikutaka kuchangia maana ningeoneka mnafiki ninaua biashara ya watu. Hawa TING hawafai kifurushi kikiisha unabaki na Channel mbili tu TBC1 na ATN hlf mm nimelipia wiki mbili zimepita mpaka sasa kuna channel zaidi ya sita hazipo hewani ukiwauliza wanakwambia ni matatizo ya kiufundi, hakuna cha mpira wala nini ni waongo sana. Hlf king'amuzi chao kinaonyesha wakiamua wanaweza kufunga hata siku nzima hawako hewani. Namshauri mleta mada atafute kingamuzi kingine.

Ahsante wakuu kwa ushauri wenu mzuri,Halafu wanakiuza bei kweli. Ngoja nione altenative nyingine. Maana unaweza kuingia wakati wengine wanataka kutoka.
 
yaani mimi mpaka sasa sina Kingamuzi, nlinunua continental kikaniletea mapicha picture nkakipiga bei...nkataka kununua ting nkaambiwa ni majanga zaidi...
...dstv nyumba za kupanga naona ntahama soon so sijui hata nfanyaje
...mimi ni movie tu.
...daah digital itatuua...!!
 
Jaribu pita post moja humu inazumgumzia azam tv,nimejaribu kusoma post za wajumbe humo naona wanaisifia azam tv. jaribu upite unaweza pata chochote.
 
Back
Top Bottom