Bei ya cement

Mangii

Member
May 3, 2012
52
3
Habari
wana jamii naomba kuuliza kwa yeyote anayefahamu bei ya cement kwa
kiwandani kwa bei ya jumla na kama ukihitaji ni kuanzia mifuko mingapi
au kama kuna sehemu naweza kupata kwa bei nzuri ambayo na mimi nitapata
angalao faida kidogo kwa anaye fahamu naomba anisaidie.Ni kwa hapa hapa Dar
 
Kiwanda cha Twiga kimeteua mawakala wake wanaosambaza bidhaa zao, unatakiwa uwaone mawakala wao watakupa kwa bei nzuri - 0754 294423
 
Kwa common mwananchi, huruhusiwi kununua kiwandani bali unapaswa kununua kwa mawakala ambao wamesambaa katika sehemu mbali mbali!!!!
 
Mmemjibu swali lake la pili la "wapi naweza kupata simenti kwa bei nafuu..." kuwa ni kwa mawakala wa kiwanda cha simenti na mmoja kampa namba ya simu. Safi. Ebu jibuni na swali lake la kwanza "bei ya jumla ya simenti (kwa mawakala ni bei gani)? Pia swali lake lingine ni simenti ya jumla ni kuanzia mifuko mingapi? Maswali haya mawili wengi tuna maslahi na majibu yake. Tunaomba taarifa za kina kwa mwenye nazo. Asanteni
 
Back
Top Bottom