Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,745
- 2,338
Hi wadau wa haya mambo ya Webhosting na Domain registration
Nimekua very anxious siku nyingi kujua walau "abc" za web hosting and domain registration sana sana ku host multiple websites mfano 20 websites kwa walau server hata ya 10$/month kwa server moja, namshukuru mdau mkongwe wa hapa JF bwana Paje alinipa idea kwamba kuna Free open source panel(Zpanel) ambako itaniwia rahisi kuwa na kitu kama Webhosting company na kuweza ku host number kubwa ya websites ikiwa tayari ninayo server.
Nimeona sio Vibaya ku share na wadau wenzangu hii kitu ya Zpanel
Najua katika sharing hii na mm ntapata faida kadhaa ikiwemo kupata maarifa zaidi na experience ya wadau wengine
Zpanel japo hatuwezi ishindanisha na cPanel ila kwa kweli inaweza ku perfom almost all task zpanel inaweza kufanya.
Leo katika mda wangu wa Ziada niliaanda video nkai upload Utube ready for sharing na wadau wangu kadhaa katika nchi za jirani nikaona sio vibaya nkitupia na kitu kidogo nilichokielewa zpanel kwa jukwaa letu pendwa jukwaa ambalo linatulea katika technolojia.
Hapa chini taweka baadhi ya Tips zilizonisaida kuweza kupandisha sites kama tatu za kizushi hewani
Requirements
1.Virtual Private server or dedicated server kulingana na Budget yako
Kwa hapa nta recommend site mbili moja ni ya VPS na nyingine ni Dedicated server zote hizi sites nimezitumia na zinatoa quality service na bei zao zinaeleweka ukilinganisha na wengine
VPS server from THIS LINK
Dedicated server from THIS LINK
2.Pia utaiitaji Domain katika tutorial yangu nimetumia Free domains kutoka freenom waweza kuwacheck kwa kugonga hii LINK
3.Account ya cloudflare mm natumia free account kwa ajili ya kulink freenom/1&1 nameservers na VPS yangu
Wacheck cloudflare kupitia HAPA
Ukiwa na hizo Requirements basi fata hizi hatua
1.Login to your VPS/Dedicated server and execute the following commands
N:B Replace yum with apt-get kama hautumii RPM linux distros kama CentOS na utaitaji kutumia script ya respective distro
Installation ya Zpanel inaweza kuchukua dakika nyingi kama 15minutes hivo ukiona ime hang hewani usifikiri ime fail bali ina load mafile
2.Kama wewe ni mpenzi wa Wordpress au Drupal CMS basi waweza ku enable Zantastico x hii itakusaidia kuinstall hizo systems
3.Katika Zpanel jaribu Generate Reseller account moja kisha wewe kama main administrator Shadow hiyo reseller account(Login kama vile wewe ndie reseller)
Add domains zako na subdomains kisha ongeza FTP account ya huyo resller kwa ajili ya ku Upload websites zake
4.Baada ya hapo Login Cloudflare na kwa huyo Domain registrar wako ili uweze ku link server IP adress yako kwa Cloudflare na Cloudflare watakupa Names servers ambazo utazi replace na zile za domain registrar wako katika website yake
Ukisha fanya haya yote it takes less than minuts hizo nameservers kuwa tayari zimeivana na sites zako unaweza kuzipandisha hewani
For details waweza kucheck video hii yangu ya youtube haiko vizuri ki vile ila inaweza kukusaidia

Code:
yum -y update
Code:
yum -y install wget
Code:
wget https://raw.github.com/zpanel/installers/master/install/CentOS-6_4/10_1_1.sh
Code:
chmod +x 10_1_1.sh
Code:
./10_1_1.sh
Installation ya Zpanel inaweza kuchukua dakika nyingi kama 15minutes hivo ukiona ime hang hewani usifikiri ime fail bali ina load mafile
2.Kama wewe ni mpenzi wa Wordpress au Drupal CMS basi waweza ku enable Zantastico x hii itakusaidia kuinstall hizo systems
3.Katika Zpanel jaribu Generate Reseller account moja kisha wewe kama main administrator Shadow hiyo reseller account(Login kama vile wewe ndie reseller)
Add domains zako na subdomains kisha ongeza FTP account ya huyo resller kwa ajili ya ku Upload websites zake
4.Baada ya hapo Login Cloudflare na kwa huyo Domain registrar wako ili uweze ku link server IP adress yako kwa Cloudflare na Cloudflare watakupa Names servers ambazo utazi replace na zile za domain registrar wako katika website yake
Ukisha fanya haya yote it takes less than minuts hizo nameservers kuwa tayari zimeivana na sites zako unaweza kuzipandisha hewani
For details waweza kucheck video hii yangu ya youtube haiko vizuri ki vile ila inaweza kukusaidia
Last edited by a moderator: