Bed Etiquette: What Do You Wear?

Nikiwa peke yangu navaa ch.u.p.i ila akiwepo papa rejao cvai kitu kbs,ili kumpa urahic wa access ya kula au kukipapasa kitumbua any time he wish 2.
Hahahaha, jamani nimestuka. Hili jukwa tuna-access hata kina sisi,
Next time ngea kwa lugha ya ishara au kwa kutumia codes basi.
 
Mie ka kweli huwa sivai chochote nikilala. Huwa nakuwa uchi wa mbuzi kama nilivyozaliwa.
 
mie naona wa kilongi,lol nalalaga na bazee ila chupi na sidiria navua lol siku nyingine navaa night dress nyepesi ila mara nyingi nalala na bazee lol
 
...nikiwa alone...nalala kama nilivyozaliwa....
...akiwepo my madame...nafunga kanga moko...
...nikiwa na mshkaji...jinsi skin kama zile za machalii ya arusha....

Yaani wewe wa kiume halafu unafunga kanga moko?? Aisee hii kali.
 
Hahaha hahhahhaha,
Hizo isidingo kaka,lkn ile ya kukuta umetengewa inashawishi hata km hakua na ratiba hiyo,chezea!!!

Hawawezi kukuelewa hawa. Hawajui kuwa ngono ni sanaa kama ilivyo sanaa nyingine hivyo yahitaji ubunifu. Cantalicia anajaribu kubuni njia mbali mbali za kufanya sex ili mpenzi wake asikinai tunda lake.
 
Back
Top Bottom