Beauty of the Day: Dangio Kaniki

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,531
11,316
Ni Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki...

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Mapendo,
TANMO.
 
Attachments

  • pic3.jpg
    pic3.jpg
    49.8 KB · Views: 1,387
  • 1.JPG
    1.JPG
    37.1 KB · Views: 1,380
  • AIRTEL 001.JPG
    AIRTEL 001.JPG
    34.6 KB · Views: 1,353
  • IMG_49484.jpg
    IMG_49484.jpg
    36.9 KB · Views: 1,367
ni mrembo,anafaa kweli kuwa afisa uhusiano na matukio Airtel.
Warembo kama hawa rahisi sana kupata nafasi za juu kwenye ajira
 
ni mrembo,anafaa kweli kuwa afisa uhusiano na matukio Airtel.
Warembo kama hawa rahisi sana kupata nafasi za juu kwenye ajira

Hivi huwa wanatazama personality na sio uwezo/ qualifications eeh??? nauliza tu! ila mrembo kweli..
 
Mrembo sana huyu dada..nimemtazama nikamkumbuka Mwanahabari Marion Elias..

dangio.jpg mrembo sana huyu bibie.. Pasco upo?
 
Last edited by a moderator:
katika picha zooote....walio mzunguka wanamtazama kwa macho ya matamanio kichizi yaniiii..

.LoL...Inaelekea katulia kweli..
 
ni mrembo,anafaa kweli kuwa afisa uhusiano na matukio Airtel.
Warembo kama hawa rahisi sana kupata nafasi za juu kwenye ajira

Yah hata kama hajaomba boss anaweza kumbembeleza ili ampe kazi.
 
Kama lengo ni kumleta hapa tutathmini uzuri basi mngepaswa kujua kuwa uzuri wa mwanamke kila mtu ana lake la kuchangia!! Wengine macho, wengine midomo, wengine sura nzima, wengine shape, wengine miguu na n.k!!

Basi kuna watu hamjawatendea haki!! Basi mleta mada naona bado kitu kimoja tu, hebu mgeuze kwanza akiwa amesimama ili na watu wengine wafanye tathmini yao!!! Wenyewe husema `sura hata meee anayo....`
 
Hivi huwa wanatazama personality na sio uwezo/ qualifications eeh??? nauliza tu! ila mrembo kweli..
ndo hivo we si unaona mtaani wapo wasichana ambao wana uwezo mzuri na wamesoma ila hawana ajira,then unakuta wote wa kwenye ajira sura nzuri kama wamechaguliwa kwa kuangalia sura
 
Back
Top Bottom