DmYah tupate connection nadhan itakuwa poa sn
DmYah tupate connection nadhan itakuwa poa sn
Poa kaka
Nikiangalia Majibu ya Mtoa Mada inaonekana ana kaujuaji flani na kaubishi(Samahani kama yatakuwa maneno siyo Sahihi).
Next time watumie SBT hata kama gari ina minor scratch wanakwambia na huwa wanakupa Account manager wako na customer care nzuri sana hatua kwa hatua anakupa mrejesho.
Note: Gari za Singapore ni hatari kwa afya yako watu washaongea sana humu ila wabongo huwa wabishi hatutakagi kuelewa pia hatupendi kujifunza.
Mcheki huyu mwamba ni uhakika zaidi Isanga familyYah tupate connection nadhan itakuwa poa sn
Patamu hapoWakuu natumai mu wazima!
Kuna wimbi la Be Forward kuleta magari mabovu ambayo yanasabibisha usumbufu mkubwa kwetu sisi wateja.
Nimenunua Alphard- nikaambiwa imefanyiwa mpaka na Inspection, na tena Be Forward Tanzania ndio walifanya clearance. Sasa cha ajabu gari imefika inavuja oil, pia imepigwa rangi nyeusi kumbe Original color ilikuwa ni Nyeupe, ikabidi tena ifanyiwe service hapa Tanzania kwenye yard ya Be Forward ndio TBS wakaipitisha.
Lakini gari bado ina matatizo mengi sana ya check engine, rejeta, masega na Engine box. Nimejaribu kufuatilia Be forward Tanzania wananijibu sababu niliagiza moja kwa moja Japan na Singapore hiyo haiwahusu. Nimefuatilia ilipotoka wananizungusha bila majibu ya kueleweka. Sasa nimeishia kupaki gari sababu haina nguvu na injini inachemsha.
Naomba mnisaidie kama kuna mwenye ushauri wa nini cha kufanya.
Asanteni wakuu.
Pole Sana.Wakuu natumai mu wazima!

Daah,pole sana mjombangu,wasingapore kumbe ni wahuni hiviGari mpaka kufika 26M, mbali ya ushuru. Ilipofika tu service kwenye yard ya Be Forward ilikwenda zaidi ya 250,000 maana TBS walikataa kurelease gari. Baada ya gari kutoka nimelipeleka gereji nyingi sana na nimetumia zaidi ya 10,000,000 kujaribu kulirepair lakini wapi. Mpaka nilinunua Gear Box mpya lakini wapi.!
TCV Wana magari mazuri ila watu hawajui tuDon’t buy used car from Be Forward..!! Gari zao zimechoka sana sana, wanaziosha na kuzipiga polish na little maintenance alafu wanakwambia iko vizuri sana, ujue Be Forward ni ya Mkinga mtanzania yuko Japan, kusema ukweli, magari mengi mno ya Be Forward ni mabovu sana na customer care yao mbovu sana..
I always buy cars from Japan kwa kufuata mwenyewe huko Japan au kupitia mitandao kama SBT Tz au TCV etc..!!
Hawa dawa yao si kuwareport tu,yaani wananiuzia shipa halafu wanaleta shitBefoward ni wahuni period!
Waliniletea discovery 3 kufika ni mshipa Balaa. Nimegombana nao sana wanaishia kusema utopolo tu
DuhBefoward ni wahuni period!
Waliniletea discovery 3 kufika ni mshipa Balaa. Nimegombana nao sana wanaishia kusema utopolo tu
Tutume nyuzi nyingi za kureport utapeli wao hadi wakuletee gari nyingine kwa gharama zao+818099777144
Tumepigwa manMnanipa tumbo joto ndo kwanza juzi nimetoka kulipia
Ila ni ya japan
Sikuomba hizo karatasi ila ndo nimemuokba sasa hivi
Nilinunua kupitia watu wao wa bongo
Ofis zile ocean road
Ulilipa USD au Ulilipa TZS?Tuombee itakua nzuri. Yes pale Ocean Road ndio ofisi ata mi nilienda kulipia pale pale.
Karatasi washakupa?
Ulilipa kwa TZS au USDHawajanipa
Ndo nimemchek davina nimemwambia nahitaji yeye ndo nilimtumia
Nina kama 3 weeks tangu nilipie
Kwani karatasi natakiwa kupewa lini?
Sorry Mkuu, Gari inayochemsha ndio Inafanyaje? Haiwaki? Au Inawaka haitembeiNi ya 2014, gari haiwezi kwenda hata Kariakoo inachemsha! Naomba ushari nifanyeje na hii gari. Je Toyoto Tanzania wanaweza nisaidia, maana gereji za mitaani hii imewashinda
Hata Mimi naitakaNashukuru mkuu kwa madini haya. Naweza kupata hiyo website ya kucross check hizo details
Sana aisee. Nimeenda nao vizuri hela wamepokea wao shipa linafika wanaanza kuniambia unajua hii ilikuwa ya third party, nyoko nyoko nyingiiiiHawa dawa yao si kuwareport tu,yaani wananiuzia shipa halafu wanaleta shit