BBC: Wanzazibar warudi toka Somalia walikokuwa wamekimbilia baada ya machafuko

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Hawa ni wanzazibari ambao walikuwa wamekimbilia nchini Somalia mara baada ya machafuko visiwani humo na wakaamua kwenda kuishi Somalia toka 2001 hadi leo.Wanzanzibari hao wenye asili ya Pemba kwa idadi yao ni 21 wamepokelewa katika uwanja wa Karume na watatunzwa na UNHCR kwamiezi 4 na kuachwa wajitegemee.

Concern
Je Somalia ndio salama zaidi kuliko Zanzibar au Tanganyika?
 
Yaani wakuke Mombasa waende Somalia? Kulikuwa na amani gani Somalia 2001?

Sasa hivi Kenya inapigana na Al-Shaabab, labda hawa walikuwa wapiganaji huko sasa mambo yamekuwa mambo wakaona warudi. Ningeshauri serikali iwafuatilie kwa makini.
 
nashangaa wameamua kurudi wakati mambo yanaanza huko zenji... wrong timing.
 
Hiki ni kituko kingine jamani,kule kwa Al shabaab kuna amani gani mpaka wakimbilie?hapa nina mashaka na hao watu inawezekana walienda kupata mafunzo kwa Al shabaab,wangechunguzwa kwanza.
 
Back
Top Bottom