Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,998
- 32,441
Wanaukumbi.
BBC inakataa kuwaita watoto wa Kipalestina, watoto.
BBC inakataa kuwaita watoto wa Kipalestina, mateka.
Inavyoonekana, ni wakoloni wakatili wa Ulaya, pekee walio na watoto, na Waisraeli pekee ndio wanaoweza kutazamwa kama mateka.
Hawa ni "wafungwa" wa Kipalestina wanaobadilishwa na mateka wa Israeli. Wao pia ni watoto. Watoto walichukuliwa majumbani mwao. Watoto ambao wanataka tu kukumbatia mama zao. Hawa ndiyo wavulana ambao vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani hata heshima ya kuitwa watoto hawawezi kusema watoto hizi ndiyo propaganda za magharibi bahati nzuri sasa hivi kuna vyombo vya habari vingi dunia inaona
=========================
The BBC refuses to call Palestinian children, children.
The BBC refuses to call Palestinian children, hostages.
Apparently, only the brutal European colonizers have children, and only Israelis can be viewed as hostages.
These are the Palestinian “prisoners” being exchanged for Israeli hostages. They are also children. Children who were stolen from their homes. Children who just want to hug their mothers. These are the boys who the media won’t even afford the dignity of being called children.