Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,753
- 699,384
Tukubaliane mahala pa kumzika huyu mdudu ccm, kifo chake hakikwepeki kwa sasa
Chini ya bahari yenye kina kikuu preferable Bermuda triangle
Tukubaliane mahala pa kumzika huyu mdudu ccm, kifo chake hakikwepeki kwa sasa
Kiongozi wa kwanza?!!! Ivi kweli upo serious? Mrema unamjua au umeshamfuta?
Lowasa anapoteza muda nchi hii hawezi shinda na cdm watajutia maamuzi. Believe me or not. Just stay tuned.
Wanachadema wote waliokuwa na nia ya dhati ya kupinga ufisadi they very very discouraged.
Mtatumia nguvu nyingi isiyo na mafanikio kuwaaminisha kweli ur a real figher.
Viongozi wao hawakutaget chama kinufaine zaidi wametanguliza manufaa yao ya mgao.
Uongozi wenu wameanza kula matapishi yao wenyewe.
Ni aibu kubwa.
Taarifa zilizopo mitaani wanachama wengi wanatangaza wengine kukihama chama na wengine hawataki tena kumsikiliza mwana siasa.
Kazi mnayo
Hakika E.L amepata coverage kubwa kwa redio na runinga za kimataifa kwa kuweka historia ya kuwa kiongozi wa juu kukihama ccm na kujiunga na upinzani kwa mara ya kwanza.vilevile wamesema kuwa siasa ya Tanzania imekuwa na uenda ukawa ndio mwanzo kwa chama cha ukawa kushika dola.
Chini ya bahari yenye kina kikuu preferable Bermuda triangle
....inaweza kushangilia/kuzizima.hapa born germany mji wazizima
Mbona Clouds haijaonesha habari haiwezi fika Dunia Nzima sasa
Hadi huku mbinguni malaika wanaruka ruka wamejipa mapumziko ya wiki nzima kushangilia ujio wa lowassa