Makiri Unguluma
JF-Expert Member
- Jul 21, 2011
- 987
- 335
Mungu anasimamia agano juu ya watanzania sasà!!!
Amina (na iwe hivyo)
Mungu anasimamia agano juu ya watanzania sasà!!!
Hadi huku mbinguni malaika wanaruka ruka wamejipa mapumziko ya wiki nzima kushangilia ujio wa lowassa
Habariii kutoka boooooooooon.Aliyekuwaaaa waziri mkuuu mstaaafu wa Tanzania Mj Lowasaaaa amepiga tekeee chama chake cha sisieeemuuuuu na kujiunga na chademaaaaaa..hayo yanajiiiiri baada ya jina lakeeeee kukatwaaa kwenye kinyanyanuiro cha uraisiiiii..mimi ni umuuni khyeeeeirrrr
ha ha ha,walikata umeme wakifikiri hatutasikia
Kaabila la kimasai lina uthubutu na wanauvumilivu
Kichuguu achana na ya huko majuu bwana, mie jana jioni narudi nyumbani nimeshangaa familia yangu inanipokea kwa furaha na bashasha huku watoto wakipiga kelele ' baba baba, ni Lowasa sasa' mpaka nikapigwa bumbuwazi.Hapa Anchorage Alaska mji mzima unarindima kushangilia Lowassa kuhamia Ukawa. Nilikuwa pale Victoria huko Canada British Columbia nikawa nasikia watu wanashangilia mitaaa ikiwa imefungwa na polisi wakiwa wanaongoza maandamao
Dunia Imetikisika? kusikia Tanzania inakaribia kupata Uhuru wake...
Aisee kwenye huu uzi wote mpo nje ya nchi(ughaibuni).Hongereni sana!
Hapa Anchorage Alaska mji mzima unarindima kushangilia Lowassa kuhamia Ukawa. Nilikuwa pale Victoria huko Canada British Columbia nikawa nasikia watu wanashangilia mitaaa ikiwa imefungwa na polisi wakiwa wanaongoza maandamao
Dunia Imetikisika? kusikia Tanzania inakaribia kupata Uhuru wake...
Mitaa yote ya Paris St Germany, Aston Villa, Chelsea, Bayern Munich, Liverpool, Manchester, Arsenal Wenger, West harm, NBA, Barcelona, Real Madrid, David Beckham, UEFA n.k
Yooote ilijaa watu kwenye big screens kushuhudia ujio wa Lowasa ukawa.