Insabhunsa Gusa
Senior Member
- May 13, 2011
- 109
- 88
Wadau..Dogo wangu ka score Second Class Upper Division....Hii ina maana gani?? Je anaweza kupata nafasi kwenye Masters Level kwenye fani zipi?? Naomba kufahamishwa, asanteni kwa mchango wenu wenye tija.....