Bowbow
JF-Expert Member
- Oct 20, 2007
- 541
- 31
Big brother ni ujinga mtupu. Nimeiona huku ulaya....underclass ndio mashabiki wakuu.
Ningependa kuweka hili suala clear,
Ninavyoelewa mimi, Big Brother is all about watu wa different background, culture, age, sex, wanawekwa pamoja na kuishi kulingana na culture zao na malezi waliolelewa, then watazamaji wanapiga kura kwa kumtoa yule ambaye wandhani hajaonesha ''culture nzuri'' utaratibu huo unaendelea hadi mshindi anapopatikana.
Kumpenda mtu na hata kufikia hatua ya kufanya mapenzi ni sehemu ya culture za zetu, how do you approach, how do you treat him or her thereafter,how do you eat, smartness, inteligency, n.k so that is part of the game. Na ni lazima waoneshe kila kitu ili kuweza kufanya sound judgement kwamba kweli huyu haifai au yule anafaa.
Waandaaji wanarespect kura na maoni ya watazamaji. So kama aliyefanya ngono zaidi ndio kashinda means watazamaji ndio wapenda ngono zaidi kuliko mshiriki ndio maana amewakuna hadi kufikia kumtangaza mshindi. Hayo ndio maoni yangu