Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,368
Wewe Mentor na Vin Diesel ndo vibazazi vinavyochipukia. Hamuachi kitu mpaka dada zenu kulaaleki
Tunakagua ubora wao kwanza kabla hatuwakabidhi wananchi....quality assurance...
Wewe Mentor na Vin Diesel ndo vibazazi vinavyochipukia. Hamuachi kitu mpaka dada zenu kulaaleki
Bazazi: mtu atumiaye hila, udanganyifu laghai, pwagu, mzandiki, mwongo, mnafiki.
Fataki: kipande kidogo cha shaba kinachotiwa baruti na kilichomo ndani ya risasi
Hakuna uhusiano wa kisemantiki baina ya maneno haya mawili, lakini kimatumizi, neno fataki tunaweza kulifananisha na bazazi kama mtu "baruti/risasi": mwepesi wa kukwepa, wa kulipua na kupenya; na mwenye kasi na ufundi wa maneno.
Habari zenu people,
Mi nina swali tu, hivi Bazazi manaake nini? nakunatofauti gani kati ya Bazazi na Fataki?