BAVICHA Vs SHIBUDA. Mechi hii imeishia wapi?

Scolari Ndenga

JF-Expert Member
Aug 4, 2008
271
43
Ile mechi kali ya BAVICHA na SHIBUDA ndani ya CHADEMA imeishia wapi?

Je kikao cha BAVICHA tulichoambiwa kilikaa kumjadili huyu mtu kiliamua nini?

Tuliambiwa kikao hicho kilikua chini ya Katibu Mkuu wa BAVICHA Ndugu MUNISHI, kwa nini mpaka leo hajatoa majibu ya hicho kikao kwa umma kwani umma uliandaliwa kupokea majibu ya hicho kikao?

Na vipi tofauti za HECHE na Makamu wake zimeishia wapi?

Nakumbushia tu kwa kua bado tunahitaji majibu juu ya SHIBUDA.







 
Kama mlikuwa mnategemea anguko la CDM kupitia shibuda kwa taarifa yenu Chadema ni Chama makini zaidi ya mnavyofikiria
 
Mshenzi hii habari inawakilisha id yako vizuri kamanda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom