Bavicha mkoa singida kuwasha moto leo standi ya zamani-singida mjini.

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo waungwana , heshima kwenu ! Leo vijana makamanda (BAVICHA Mkoa Singida) watafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Standi ya Zamani katikati ya mji wa Singida . Wazungumzaji watakuwa ni viongozi BAVICHA mkoa Singida na Viongozi wengine wa mkoa akiwemo Katibu wa mkoa, kamanda Msuta, mkutano huo utaanza saa 9 mchana. Lengo la mkutano huo ni mwendelezo wa vuguvugu la mabadiliko, maarufu M4C ambalo dhima yake kubwa ni kufikisha elimu ya ukombozi wa pili toka kwa mkoloni mweusi (CCM) .Pili mkutano huo unalenga kufuta na kukemea juhudi za makusudi zinazo ratibiwa na kufanywa na CCM kuhujumu vuguvugu la mabadiliko kwa kuwanunua vijana wa cdm wachumia matumbo na wapiga dili badala ya kununua dawa, vitanda hospitalini, kujenga madarasa, kununua madawati, kutoa mikopo kwa dada zetu wanaojiuza kwa mia tano sababu ya njaa, kununua vyakula kwani watanzani wanakufa njaa Ngorongoro n.k. My take :- Acha Mwigulu Nchemba a.k.a Lameck Mkumbo aendeleze matusi yasiyo na staha kwa umma dhidi ya Dr Slaa na Wabunge wa cdm badala ya kusimamia ilani ya ccm yenye kauli mbiu "MAISHA BORA KILA MTANZANIA ." Pia Nape endeleza Propaganda chini ya LUMUMBA PROPAGANDA FM ili CCM ife kibudu 2015. Naomba turejee Zaburi 15:2 " ULIMI WA MWENYE HEKIMA HUTAMKA MAARIFA VIZURI ,BALI VINYWA VYA WAPUMBAVU HUMWAGA UPUMBAVU ."
 
Aluta Continua!!

Kila la heri huko singida! Ccm iendelee kuwanunua madiwani na hata wabunge! Lakini haitaweza kuwanunua wapendamabadiliko wote!
 
CCM ndio ajenda ya mkutano wenu? Nadhani sasa umefika wakati CDM ikaliangalia upya baraza lake la vijana hasa jinsi ya kuwaandaa kwa afya ya chama, demokrasia na ustawi wa jamii yetu.
 
Tuna ajenda mbili,ya kwanza ni kuelezea wananchi upuuzi wa CCM wa kuwanunua madiwani pamoja na vijana. Agenda ya pili ni kuelezea sera za chama!
 
Mkimaliza mrudi kumuuliza Slaa kutoka CCM alinunuliwa na wapuuzi wa CDM kwa shilingi ngapi? Afu hivi chama cha demokrasia kinajua hata maana hilo neno demokrasia? Kama upuuzi basi CDM itakuwa inaizidi CCM maana wanachama wake wengi wametoka CCM ikiwemo viongozi waasisi wa chama.
 
Kila la kheri makamanda,CHADEMA ni nyumba takatifu hivyo mapepo yote yatatimuka kurudi kwenye chama chao cha mafisadi kabla ya 2015.
 
CCM ndio ajenda ya mkutano wenu? Nadhani sasa umefika wakati CDM ikaliangalia upya baraza lake la vijana hasa jinsi ya kuwaandaa kwa afya ya chama, demokrasia na ustawi wa jamii yetu.

ccm yaweza kuwa ni miongoni mwa agenda kwa kuwa ndio chama tawala sugu africa kisichokuwa na mipango ya maendeleo zaidi ya ufisadi.....huwezi kuyazungumza mazuri ya tz kama yapo bila kuitaja ccm na huwezi kuzungumza mabaya ya nchi bila kuitaja ccm...........haya mambo yanahitaji falsafa zaidi na sio hisia ..nadhan nimeeleweka...M4C FOREVERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR.
 
mkimaliza mrudi kumuuliza slaa kutoka ccm alinunuliwa na wapuuzi wa cdm kwa shilingi ngapi? Afu hivi chama cha demokrasia kinajua hata maana hilo neno demokrasia? Kama upuuzi basi cdm itakuwa inaizidi ccm maana wanachama wake wengi wametoka ccm ikiwemo viongozi waasisi wa chama.

nimenasa kirusi hiki kingine..............ben........... Uko wapi kuna snich huku.......
 
tuna ajenda mbili,ya kwanza ni kuelezea wananchi upuuzi wa ccm wa kuwanunua madiwani pamoja na vijana. Agenda ya pili ni kuelezea sera za chama!

scanner yangu......inakiri umakini wako usio na shaka ndani yake.....................m4c foreverrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
ccm yaweza kuwa ni miongoni mwa agenda kwa kuwa ndio chama tawala sugu africa kisichokuwa na mipango ya maendeleo zaidi ya ufisadi.....huwezi kuyazungumza mazuri ya tz kama yapo bila kuitaja ccm na huwezi kuzungumza mabaya ya nchi bila kuitaja ccm...........haya mambo yanahitaji falsafa zaidi na sio hisia ..nadhan nimeeleweka...M4C FOREVERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR.

Bado nakubaliana na Dr Kitila lazima vijana wa CDM wafundwe sasa, hayo makelele ya CCM na ufisadi yana mwisho tunahitaji taifa zaidi ya majina.
 
mtachemsha

na tunachemsha kweli mpaka ccm imepata moto inakaribia kupasuka.......wapi mzee wa meno ya tembo....wapi mlima nyanya wa iringa.................cdm si mchezo wamuulize yule mtaalam wa kukariri vifungu vya biblia kuwadefame watu kaishia wapi
 
Back
Top Bottom