Batilda Burian awa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

kizomanizo

Member
Jan 26, 2010
71
21
Habari za fasta zinasema Batilda Buriani ndiye mkuu mpya wa mkoa wa Arusha baada ya kubwagwa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge katika jimbo hilo hilo. Bado sija-confirm!
 
We Junior member acha kuleta habari ambazo hujaconfirm. Huo ni uzushi na umbea
 
yawezekani ikawa kweli, liongewalo lipo na kama halipo basi lipo njiani linakuja.kwani sisiem watu!!!
 
JK yuko seriuos hawezi kumleta AR la sivyo anataka maendeleo yarudi nyuma kwani huyo mama hataweza fanya kazi na mbunge aliyepo. Hiyo itakuwa sabotage ya maendeleo ya Arusha mzee na JK anajua hilo hawezi fanya huo upuuzi
 
Kamwe JK hawezi fanya hivyo, kwani anajua kilichotokea Mbeya baada ya kumweka Mwakipesile aliyeshindwa na Mwakyembe. Tsunami alilopata yeye analijua....
So Batilda hapati appointment yoyote kwa JK , believe me.....
 
JK yuko seriuos hawezi kumleta AR la sivyo anataka maendeleo yarudi nyuma kwani huyo mama hataweza fanya kazi na mbunge aliyepo. Hiyo itakuwa sabotage ya maendeleo ya Arusha mzee na JK anajua hilo hawezi fanya huo upuuzi

Hivi ni nani alikuambia JK anataka maendeleo?????????????
 
Bwana Mponjoli, hizi rankings za kwenye forums na discussions hazina maana kubwa sana wala katika maisha hazina ishu, endelea kukusanya pointi tu! Great thinker /sarcastically!
 
Atakuja kuteseka sana in case ikiwa kweli..Mazingira ya kazi kwake yatakuwa magumu mno kiasi atasurrender mwenyewe!...Na hivi wanavyomchokonoa Mbunge hapa Ar ndio wanapoteza imani kabisa!...
WaSHAURI WA jk wanaosoma hapa JF bora wamwambie huyo mzee asifanye hilo kosa, atajutia bure!
 
..Gerald2008,refer what JK did in Mbeya (Mwakipesile)

Kikwete ni mtu wa kukomoa watu na likelihood ya huyo mama kuwa mkuu wa Mkoa wa Arusha na Masha kuwa mkuu wa mkoa wa Mwanza ni kubwa sana!! Ngoja mtasikia na hapo ndio mtajua mkwere ni mtu wa aina gani. Hata kama kweli atawateua hawa wapambe wake kuwa maRC katika hiyo mikoa ajue atakuwa anawatesa sana kwani hawatakuwa na amani; Mwakipesile Mbeya haheshimiwi wala hathaminiwi na uRC wake na hawa sidhani kama wangefurahia maisha ya aina hiyo!!
 
Suppose it turn out to be true, will you appologize?

ndo mpaka iwe ila tukiendelea kupost vitu ambavyo si confirmed patakuwa hapatoshi humu.....imagine na mimi nakuja na yangu..LIPUMBA KUTEULIWA KUWA KOCHA WA TIMU TAIFA YA MIGUU YA TANZANIA KUMRITHI POULSEN....bado siajconfirm
 
Mwana JF taratibu ndugu unataka tuchangie hisia zako ambazo hata wewe hujaziamini?.

Habari za fasta zinasema Batilda Buriani ndiye mkuu mpya wa mkoa wa Arusha baada ya kubwagwa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge katika jimbo hilo hilo. Bado sija-confirm!
 
Suppose it turn out to be true, will you appologize?

Jamani tusicrash kwanza tungoje hata mpaka siku iishe, mimi ya TIDO MHANDO yalikuja hapa that day hata kuchangia na kusema thanks kwa mleta habari nilishindwa, lakini asubuhi nilibloo mapigo nikasema JF kweli kiboko, hapa ni source ya Information. Serikali ya Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo lolote kwao lawezekana!!
 
Back
Top Bottom