kizomanizo
Member
- Jan 26, 2010
- 71
- 21
Habari za fasta zinasema Batilda Buriani ndiye mkuu mpya wa mkoa wa Arusha baada ya kubwagwa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge katika jimbo hilo hilo. Bado sija-confirm!
Suppose it turn out to be true, will you appologize?We Junior member acha kuleta habari ambazo hujaconfirm. Huo ni uzushi na umbea
JK yuko seriuos hawezi kumleta AR la sivyo anataka maendeleo yarudi nyuma kwani huyo mama hataweza fanya kazi na mbunge aliyepo. Hiyo itakuwa sabotage ya maendeleo ya Arusha mzee na JK anajua hilo hawezi fanya huo upuuzi
We Junior member acha kuleta habari ambazo hujaconfirm. Huo ni uzushi na umbea
..Gerald2008,refer what JK did in Mbeya (Mwakipesile)
Suppose it turn out to be true, will you appologize?
Habari za fasta zinasema Batilda Buriani ndiye mkuu mpya wa mkoa wa Arusha baada ya kubwagwa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge katika jimbo hilo hilo. Bado sija-confirm!
Suppose it turn out to be true, will you appologize?
Mwana JF taratibu ndugu unataka tuchangie hisia zako ambazo hata wewe hujaziamini?.