wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,187
Basi hilo linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda Singida limegonga Bajaji maeneo ya Morogoro.
Chanzo kikuu cha ajali ni dereva wa basi hilo kujaribu kuyapita mabasi mengi bila ya tahadhari na kusababisha kugonga bajaji hiyo.
Kwa upande wa basi hakuna madhara yoyote ila kwa bajaji Kuna mahututi wanne ambao kupona kwao ni kuomba Mungu.
===
UPDATE;
Basi kampuni ya Esta lenye namba ya usajili T279 DZX lilokua likitokea Dar es salaam kuelekea Mkoani Singida limegongana na bajaji na kujeruhi watu wa tano(5) na wanne wakiwa mahututi.
Kaimu Kamanda wa jeshi la polisi Morogoro ACP Hassan Omary amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.