Basi la kampuni ya Ester Luxury lagonga Bajaji Morogoro, wanne wapo mahututi

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
525
1,187
Basi hilo linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda Singida limegonga Bajaji maeneo ya Morogoro.

Chanzo kikuu cha ajali ni dereva wa basi hilo kujaribu kuyapita mabasi mengi bila ya tahadhari na kusababisha kugonga bajaji hiyo.

Kwa upande wa basi hakuna madhara yoyote ila kwa bajaji Kuna mahututi wanne ambao kupona kwao ni kuomba Mungu.

===

UPDATE;
Basi kampuni ya Esta lenye namba ya usajili T279 DZX lilokua likitokea Dar es salaam kuelekea Mkoani Singida limegongana na bajaji na kujeruhi watu wa tano(5) na wanne wakiwa mahututi.

Kaimu Kamanda wa jeshi la polisi Morogoro ACP Hassan Omary amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

Basi ilo linalofanya safari zake kati ya dsm kwenda Singida limegonga Bajaji maeneo ya Morogoro.

Chanzo cha ajali
Chanzo kikuu ni dereva wa basi ilo kujaribu kuyapita mabasi mengi bila ya tahadhari na kusababisha kugonga bajaji iyo.

Hali ya abiria

Kwa upande wa basi hakuna madhara yoyote ila kwa bajaji Kuna mahututi wanne ambao kupona kwao Ni kuomba Mungu
Pole sana msianze makafara sasaa
 
Nanihilii waziri wa nanilihii ameanza makafara
 
Highways kupanda bajaji sithubutu mimi, afadhali wangepita reserve road huko.
 
Back
Top Bottom