Bashe wacha hadaa, nchi nyingi huzuia kuuza nje mazao ya chakula ili kulinda bei

Mwaka jana mfano India moja ya wazalishaji wakuu wa ngano Duniani alipiga marufuku kuuza ngano nje ya India hii ni ili alinde bei ya ndani ilio kuwa inaanza kupanda.

Sasa je Tanzania na India nani ni Bepari?nani anajua biashara? Nani analima kibiashara? India waliona hawawezi au hawana ngano ya Serikali ya kuachia sokoni hivyo bora wapige marufuku kuuza ngano nje.

Indonesia mwaka jana huo huo alizuia au aliweka limiti ya kiwango cha mafuta ya mawese kitakacho uzwa nje ili alinde bei ya watumiaji wa ndani.

Bashe anakuambia hawawezi zuia kuuza nafaka nje yes ni kweli lakini je wana nfaka ya kuweza kuingizwa sokoni ili kulinda walaji wa ndani? Maghala ya Serikali yana kiasi gani cha nafaka? Kwa nini isiachiliwe sokoni?

Bashe na CCM wana advantage ya kutawala mazezeta aka Maiti, ndio maana wanafanya wanavyo taka, wanajua fika hata bei ya mchele ikafika 10, 000/ hakuna kitu raia wanaweza fanya hio tu ndio inayo wapa nguvu na si kingine.

Kama serikali inaona wakulima wauze kokote kule basi pia iwe na nafaka yake, ya kusapoti walaji, Serikali nyingi Duniani huwa zinahakikisha kwanza raia wake wanapata chakula kwa bei ya chini kabisa. Make chakula kikipanda bei kama mikate basi inaweza tokea Mapinduzi.

Bashe amekuwa anampotosha sana Mama na alisha ona pia Mama ni mweupe kwa mambo mengi ndio kwanza anazidi kumpotosha, angalia swala la Mbolea.
Wewe ambae unajitambua mbona huandamani na unalalamika unataka nani akuandamanie?

Mshenzi nini yaani Mimi nilime harafu wewe uje kunipangia bei?
Iambie serikali Yako itoe mnegu,mbolea,madawa na isitutoze ushuru Ili ipate uhalali wa kupanga bei za kukuuzia wewe unavyotaka..

Tanzania sio India,hamia kule sio kuleta upuuzi hapa.
 
Nenda kalime uone gharama na ugumu wa kilimo hafu uvune mtu akuoangie pa kuuza, biashara huria kama huliki utakula Kwa kununua! Mbona bidhaa zingine bei juu na hamlalamiki?
Mwaka jana mfano India moja ya wazalishaji wakuu wa ngano Duniani alipiga marufuku kuuza ngano nje ya India hii ni ili alinde bei ya ndani ilio kuwa inaanza kupanda.

Sasa je Tanzania na India nani ni Bepari?nani anajua biashara? Nani analima kibiashara? India waliona hawawezi au hawana ngano ya Serikali ya kuachia sokoni hivyo bora wapige marufuku kuuza ngano nje.

Indonesia mwaka jana huo huo alizuia au aliweka limiti ya kiwango cha mafuta ya mawese kitakacho uzwa nje ili alinde bei ya watumiaji wa ndani.

Bashe anakuambia hawawezi zuia ku

uza nafaka nje yes ni kweli lakini je wana nfaka ya kuweza kuingizwa sokoni ili kulinda walaji wa ndani? Maghala ya Serikali yana kiasi gani cha nafaka? Kwa nini isiachiliwe sokoni?

Bashe na CCM wana advantage ya kutawala mazezeta aka Maiti, ndio maana wanafanya wanavyo taka, wanajua fika hata bei ya mchele ikafika 10, 000/ hakuna kitu raia wanaweza fanya hio tu ndio inayo wapa nguvu na si kingine.

Kama serikali inaona wakulima wauze kokote kule basi pia iwe na nafaka yake, ya kusapoti walaji, Serikali nyingi Duniani huwa zinahakikisha kwanza raia wake wanapata chakula kwa bei ya chini kabisa. Make chakula kikipanda bei kama mikate basi inaweza tokea Mapinduzi.

Bashe amekuwa anampotosha sana Mama na alisha ona pia Mama ni mweupe kwa mambo mengi ndio kwanza anazidi kumpotosha, angalia swala la Mbolea.
 
Watu wanaandika tu bila kujua uhalisia.
Muda huu tupo huku Rufiji tunanunua ufuta ambao bado upo shambani, yaani mkulima anauza mazao yake ambayo hata kukomaa bado,halafu msimu wa minada ikifika wasiojua wanasema eti wakulima ndio wanufaika wa bei kubwa,kume wakina Majaliwa wameshafanya yao kitambo tuu.

Hii ni kwenye korosho na ufuta kwa Kusini yote, mahindi na mpunga kwa Moro,Ruvuma, Shinyanga.
Hata kama wakulima wanauza mazao kabla hata hayaja komaa sawasawa, suluhu sio kufunga mipaka.

Hata kama wanaouza mazao nje ya nchi sio wakulima wadogo, suluhu sio kuzuia uuzaji mazao nje ya nchi.

Kwa ufupi tusihimize wakulima kulima kwa wingi halafu kuweka mikakati walipwe bei za kuwagandamiza.

Hata wakulima wana tamani kukua kiuchumi.

Kinacho wagharimu wakulima ni kukosa umoja na ujasiri.

Vinginevyo wakiamua wasitoe punje ya muhindi miezi miwili tu, tungekubali kuwa nao ni binadamu.
 
Mwaka jana mfano India moja ya wazalishaji wakuu wa ngano Duniani alipiga marufuku kuuza ngano nje ya India hii ni ili alinde bei ya ndani ilio kuwa inaanza kupanda.

Sasa je Tanzania na India nani ni Bepari?nani anajua biashara? Nani analima kibiashara? India waliona hawawezi au hawana ngano ya Serikali ya kuachia sokoni hivyo bora wapige marufuku kuuza ngano nje.

Indonesia mwaka jana huo huo alizuia au aliweka limiti ya kiwango cha mafuta ya mawese kitakacho uzwa nje ili alinde bei ya watumiaji wa ndani.

Bashe anakuambia hawawezi zuia kuuza nafaka nje yes ni kweli lakini je wana nfaka ya kuweza kuingizwa sokoni ili kulinda walaji wa ndani? Maghala ya Serikali yana kiasi gani cha nafaka? Kwa nini isiachiliwe sokoni?

Bashe na CCM wana advantage ya kutawala mazezeta aka Maiti, ndio maana wanafanya wanavyo taka, wanajua fika hata bei ya mchele ikafika 10, 000/ hakuna kitu raia wanaweza fanya hio tu ndio inayo wapa nguvu na si kingine.

Kama serikali inaona wakulima wauze kokote kule basi pia iwe na nafaka yake, ya kusapoti walaji, Serikali nyingi Duniani huwa zinahakikisha kwanza raia wake wanapata chakula kwa bei ya chini kabisa. Make chakula kikipanda bei kama mikate basi inaweza tokea Mapinduzi.

Bashe amekuwa anampotosha sana Mama na alisha ona pia Mama ni mweupe kwa mambo mengi ndio kwanza anazidi kumpotosha, angalia swala la Mbolea.
Nimemsikiliza sana! Anajali sana wakulima! Wengine wadai maslahi ya kuweza kujimudu!
Bashe for Tz presidency?! YEEEEES!
 
Kwahiyo unataka wazazi wako kule kijijini wateguke viuno kwa kulima ili waje wawauzie mazao kwa bei rahisi nyie wanywa bia na kitimoto wa mijini?

Bashe is damn right. Kama unataka vya bei chee kashike jembe ukalime.... Ndio utaelewa somo
hii nimeipenda! Nobody is talking about valuing farming labor! Hivi kwa jinsi mkulima anavyomenyeka na jembe la mkono kuna vimburu wa taoo wanatafuta urahisi. Ili mkulima asaidike nafikiri Bashe awajenge waweze kuungana na kuuza nje kwa ujumla badala ya walanguzi wengine wathulumati wakubwa. Juzi alikuwa anamtafuta bw Mushi aliyeiba mazao ya wakulima na kutokomea zambia! Go Bashe GOoo
 
Pangeni kulima ili kuwe na chakula cha kutosha kuuza nje na ndani. Bila kuwazuia wakulima.

Hili si jambo ambalo haliwezekani.

Msipange kuwazuia wakulima kuuza nje ili bei za ndani ziwe nzuri. Hii ni protectionism mbaya sana itakayoua ufanisi na ubunifu.
 
Acha propaganda. Hujui mkulima anavyofedheheka kwa kuzuia chakula kuuzwa nje. Nenda kashike jembe ndio utakua mwisho wa kuandika pumba hizi.

Kama kuna waziri kwa vitendo kamkosha mama kwa kuwapoza zaidi ya 60% ya watanzania (wakulima), ni Bashe kwa kutoa mbolea kwa ruzuku na kutozuia chakula kuuzwa nje. Huyu ni Almasi kwa Mama, Almasi kwa wakulima.

Mwisho pitia mahojiano ya mkulima maarufu "Sumli", aliyeamua kuacha biashara ya mabasi na kuhamia kwenye kilimo, juu ya hasara aliyoipata kwa kukatazwa mahindi kutouzwa nje.
Kwenye suala la Mbolea ya Ruzuku kwa mwaka huu Serikali imejitahidi kiasi. Changamoto ipo kwenye usimamizi wa ugawaji wa mbolea yenyewe ambapo wanaohusika ni Watendaji wa Halmashauri zetu, hilo linatakiwa lirekebishwe haraka maana Mbolea ya Ruzuku inaleta nafuu kwetu sisi Wakulima.
 
Mwaka jana mfano India moja ya wazalishaji wakuu wa ngano Duniani alipiga marufuku kuuza ngano nje ya India hii ni ili alinde bei ya ndani ilio kuwa inaanza kupanda.

Sasa je Tanzania na India nani ni Bepari?nani anajua biashara? Nani analima kibiashara? India waliona hawawezi au hawana ngano ya Serikali ya kuachia sokoni hivyo bora wapige marufuku kuuza ngano nje.

Indonesia mwaka jana huo huo alizuia au aliweka limiti ya kiwango cha mafuta ya mawese kitakacho uzwa nje ili alinde bei ya watumiaji wa ndani.

Bashe anakuambia hawawezi zuia kuuza nafaka nje yes ni kweli lakini je wana nfaka ya kuweza kuingizwa sokoni ili kulinda walaji wa ndani? Maghala ya Serikali yana kiasi gani cha nafaka? Kwa nini isiachiliwe sokoni?

Bashe na CCM wana advantage ya kutawala mazezeta aka Maiti, ndio maana wanafanya wanavyo taka, wanajua fika hata bei ya mchele ikafika 10, 000/ hakuna kitu raia wanaweza fanya hio tu ndio inayo wapa nguvu na si kingine.

Kama serikali inaona wakulima wauze kokote kule basi pia iwe na nafaka yake, ya kusapoti walaji, Serikali nyingi Duniani huwa zinahakikisha kwanza raia wake wanapata chakula kwa bei ya chini kabisa. Make chakula kikipanda bei kama mikate basi inaweza tokea Mapinduzi.

Bashe amekuwa anampotosha sana Mama na alisha ona pia Mama ni mweupe kwa mambo mengi ndio kwanza anazidi kumpotosha, angalia swala la Mbolea.
Bashe ni msomali siyo mtanzania hawezi kuwa na uchungu na Tanzania
 
Kulinda bei ya kwa faida ya nani? wasiolima?
 
Bashe ni msomali na kule Somalia Kuna uhaba mkubwa sana wa chakula , Sasa hawezi zuia chakula kisitoke nje ya nchi.
 
Food security is equal to national security!
Nchi inaongozwa na vilaza,tangu ateuliwe kuwa Waziri wa Kilimo,umewahi kusikia amefanya ziara nje ya nchi kwenda kijifunza mataifa mengine wanafanya nini kuboresha Kilimo.
Food security hailetwi kwa kuzuia kuexport mazao ya chakula. Kufanya hivyo ni kuhatarisha hiyo food security.
 
Mwaka jana mfano India moja ya wazalishaji wakuu wa ngano Duniani alipiga marufuku kuuza ngano nje ya India hii ni ili alinde bei ya ndani ilio kuwa inaanza kupanda.

Sasa je Tanzania na India nani ni Bepari?nani anajua biashara? Nani analima kibiashara? India waliona hawawezi au hawana ngano ya Serikali ya kuachia sokoni hivyo bora wapige marufuku kuuza ngano nje.

Indonesia mwaka jana huo huo alizuia au aliweka limiti ya kiwango cha mafuta ya mawese kitakacho uzwa nje ili alinde bei ya watumiaji wa ndani.

Bashe anakuambia hawawezi zuia kuuza nafaka nje yes ni kweli lakini je wana nfaka ya kuweza kuingizwa sokoni ili kulinda walaji wa ndani? Maghala ya Serikali yana kiasi gani cha nafaka? Kwa nini isiachiliwe sokoni?

Bashe na CCM wana advantage ya kutawala mazezeta aka Maiti, ndio maana wanafanya wanavyo taka, wanajua fika hata bei ya mchele ikafika 10, 000/ hakuna kitu raia wanaweza fanya hio tu ndio inayo wapa nguvu na si kingine.

Kama serikali inaona wakulima wauze kokote kule basi pia iwe na nafaka yake, ya kusapoti walaji, Serikali nyingi Duniani huwa zinahakikisha kwanza raia wake wanapata chakula kwa bei ya chini kabisa. Make chakula kikipanda bei kama mikate basi inaweza tokea Mapinduzi.

Bashe amekuwa anampotosha sana Mama na alisha ona pia Mama ni mweupe kwa mambo mengi ndio kwanza anazidi kumpotosha, angalia swala la Mbolea.
Uwongo huo hakuna kitu hicho India inauza kila kitu nje na wao wanaagiza kila kitu kutoka nje kutokana na mahitaji bila shaka ikiwa bidhaa fulani iko kwa wingi nchini hakuna mfanya biashara atakaeagiza bidhaa hiyo kutoka nje.
 
Mwaka jana mfano India moja ya wazalishaji wakuu wa ngano Duniani alipiga marufuku kuuza ngano nje ya India hii ni ili alinde bei ya ndani ilio kuwa inaanza kupanda.

Sasa je Tanzania na India nani ni Bepari?nani anajua biashara? Nani analima kibiashara? India waliona hawawezi au hawana ngano ya Serikali ya kuachia sokoni hivyo bora wapige marufuku kuuza ngano nje.

Indonesia mwaka jana huo huo alizuia au aliweka limiti ya kiwango cha mafuta ya mawese kitakacho uzwa nje ili alinde bei ya watumiaji wa ndani.

Bashe anakuambia hawawezi zuia kuuza nafaka nje yes ni kweli lakini je wana nfaka ya kuweza kuingizwa sokoni ili kulinda walaji wa ndani? Maghala ya Serikali yana kiasi gani cha nafaka? Kwa nini isiachiliwe sokoni?

Bashe na CCM wana advantage ya kutawala mazezeta aka Maiti, ndio maana wanafanya wanavyo taka, wanajua fika hata bei ya mchele ikafika 10, 000/ hakuna kitu raia wanaweza fanya hio tu ndio inayo wapa nguvu na si kingine.

Kama serikali inaona wakulima wauze kokote kule basi pia iwe na nafaka yake, ya kusapoti walaji, Serikali nyingi Duniani huwa zinahakikisha kwanza raia wake wanapata chakula kwa bei ya chini kabisa. Make chakula kikipanda bei kama mikate basi inaweza tokea Mapinduzi.

Bashe amekuwa anampotosha sana Mama na alisha ona pia Mama ni mweupe kwa mambo mengi ndio kwanza anazidi kumpotosha, angalia swala la Mbolea.
Bashe ni mfano mmoja wa mawaziri wenye kuuza maneno mengi sana, huku kivitendo hawajui waanzie wapi.

Wizara ya kilimo inayo matatizo mengi sana yanayowazonga wakulima na mazao yao; lakini hachukui muda kuyawekea muda na kutafuta ufumbuzi wake; badala yake anarukia tu kuuza maneno yenye lugha ya kilaghai kutafuta sifa tu!

Mwanzo nilidhani ni waziri makini, lakini naona ni walewale wanaotafuta sifa zisizostahili.
 
Back
Top Bottom