Bashe wacha hadaa, nchi nyingi huzuia kuuza nje mazao ya chakula ili kulinda bei

Sure ndugu mimi mkulima sikuwai huza soko la nje silijui na mzigo mkubwa nilishautembeza kitambo kwa bei ya kawaida nashaa asaivi nasingiziwa nauza mzigo nje kwa bei iliyotukuka wakati hapo ni dhaili wafanya biashara walilangua sasa wanauza kwa bei hiyo hapo watu wanajizima data ety wanamfuta jasho mkulima wakati hapo hata mtoto wa miaka miwili adanganywi wanaofutwa jasho asaivi ni wafanya biashara wakulima wanauziaga mzao shamba tena kwa kipind kile ni mengi uwez pata bei nzuri
Wewe basi ni mzembe, hakuna aliyekunyima kuuza mzigo wako kwa bei nzuri
 
Hao wakulima hawajui hata mipaka inafananaje, na wanao lia kutaka Chakula cha msaada nu wakulima, usidhani ni watu wa mjini, nilienda Shingabya huko wanalima mpunga sana ila now wanalia njaa,

Wanao fadika ni walanguzi,
Usiwazungumzie wakulima wote, hujui lolote
Watu tumepiga hela wewe unabwabwaja mitandaoni
 
Ujui kitu ndugu akuna mkulima anayeuza mazao mwezi huu wa kwanza mazao yameuzwa mdaha sana wanaouza kwa bei kali asaivi ni wafanyabiashara kwaiyo hiyo mantinki yenu ya kwamba huu mfumuko wa bei kwa vyakula ni faida kwa mkulima hapana ni janga kwa mkulima sababu baadhi ya wakuliwa walishauza mazao yao yote watatue shidah zao kwa kipind kile nao asaivi wapo wananunua kwa bei hiyo. Na pia mimi nipo teyar kufa maskini hila wewe usife njaa sababu utajiri wangu hautakuwa wa milele naitaji pepo kwa imani yangu wew kunywa bia mimi ntakulimia tu ainashidah
Ndio tunataka sasa wakulima wauze mazao yao wenyewe. Sio kupitia kwa madalali. Vijijini huko wakulima wanazuiwa kuuza. Madalali wanacheza madili wanayanunua kwa bei wanayotaka...

Sasa wewe mkulima mbobezi kwanini huuzi mazao yako kipindi hiki??

Sijui kitu kweli kama unavyotaka kujiaminisha wewe, kwakuwa najua unanijua sana....
 
Unafikiri wakuliwa wote wanasehemu ya kutunza hayo mazao unakosea ndugu kunasabu nying zinazomfanya mkulima auze mapema mazao nimeziandika huko juu
 
Mwaka jana mfano India moja ya wazalishaji wakuu wa ngano Duniani alipiga marufuku kuuza ngano nje ya India hii ni ili alinde bei ya ndani ilio kuwa inaanza kupanda.

Sasa je Tanzania na India nani ni Bepari?nani anajua biashara? Nani analima kibiashara? India waliona hawawezi au hawana ngano ya Serikali ya kuachia sokoni hivyo bora wapige marufuku kuuza ngano nje.

Indonesia mwaka jana huo huo alizuia au aliweka limiti ya kiwango cha mafuta ya mawese kitakacho uzwa nje ili alinde bei ya watumiaji wa ndani.

Bashe anakuambia hawawezi zuia kuuza nafaka nje yes ni kweli lakini je wana nfaka ya kuweza kuingizwa sokoni ili kulinda walaji wa ndani? Maghala ya Serikali yana kiasi gani cha nafaka? Kwa nini isiachiliwe sokoni?

Bashe na CCM wana advantage ya kutawala mazezeta aka Maiti, ndio maana wanafanya wanavyo taka, wanajua fika hata bei ya mchele ikafika 10, 000/ hakuna kitu raia wanaweza fanya hio tu ndio inayo wapa nguvu na si kingine.

Kama serikali inaona wakulima wauze kokote kule basi pia iwe na nafaka yake, ya kusapoti walaji, Serikali nyingi Duniani huwa zinahakikisha kwanza raia wake wanapata chakula kwa bei ya chini kabisa. Make chakula kikipanda bei kama mikate basi inaweza tokea Mapinduzi.

Bashe amekuwa anampotosha sana Mama na alisha ona pia Mama ni mweupe kwa mambo mengi ndio kwanza anazidi kumpotosha, angalia swala la Mbolea.
Sio kuwazuia wakulima wasiuze mazao yao kwa bei ya juu wanayopata wakiuza mazao yao huko kwenye masoko ya nje, bali serikali inunue hayo mazao kwa bei ile ile ya soko la nje kisha iwauzie wananchi wake kwa bei elekezi watakayoipanga ili wananchi wasipate taabu sana! Lakini kutegemea wakulima masikini wawalishe matajiri na watu wa hali ya chini kwa kulazimishwa wayauze mazao kwa bei ya chini huo utakuwa ni uonevu ! Wakulima hawasaidiwi na mtu yeyote huko mashambani kwao zaidi ya kuitwa washamba !!
 
Tufanye hao wafanyabiashara wasingeenda kununua mazao yao kwakuwa hawana sehemu ya kuyatunza, serikali ingefanyaje? Ingeenda kuyanunua au ingewapa sehemu ya kuyahifadhi? Au ingependeza yaachwe yaharibike?
 
Sio kuwazuia wakulima wasiuze mazao yao kwa bei ya juu wanayopata wakiuza mazao yao huko kwenye masoko ya nje, bali serikali inunue hayo mazao kwa bei ile ile ya soko la nje kisha iwauzie wananchi wake kwa bei elekezi watakayoipanga ili wananchi wasipate taabu sana! Lakini kutegemea wakulima masikini wawalishe matajiri na watu wa hali ya chini kwa kulazimishwa wayauze mazao kwa bei ya chini huo utakuwa ni uonevu ! Wakulima hawasaidiwi na mtu yeyote huko mashambani kwao zaidi ya kuitwa washamba !!
Sasa kama serikali hainunui??
 
Hao wakulima hawajui hata mipaka inafananaje, na wanao lia kutaka Chakula cha msaada nu wakulima, usidhani ni watu wa mjini, nilienda Shingabya huko wanalima mpunga sana ila now wanalia njaa,

Wanao fadika ni walanguzi,
Sasa hapo wenye shida ni mkulima aliye shindwa kuweka akiba ya chakula kwa ajili ya familia yake.
Katika dunia ya kibepari ukupenda kuishi maisha ya kutafuta huruma utaishi maisha magumu sana.
 
Hakuna mkulima anaye jua soko la nje na wakulima wote waliuza mahindi bei ikiwa sh 50, 000/ gunia, hakuna mkulima mqenye stock na wanao hitaji msaada kwa sasa ni wakulima hao
Sasa huo ni upumbavu wao maana serikali haikuwashikia buduki na kuwarazimisha wauze kwa hiyo bei unayo ihita ndogo.
 
Mkiambiwa mlime mnasema kulima ni kuzika hela na kumepitwa na wakati,haya kuleni hizo hela zenu. Mnapenda sana maisha rahisi kwa kila kitu....unapolalamika mkulima huku kijijini ana stock ya kutosha ya chakula. Mnaolilia bei kupanda ni nyie wa dasalama....maji mtaiyaita mmmaah...bladifakeni.
 
Mwaka jana mfano India moja ya wazalishaji wakuu wa ngano Duniani alipiga marufuku kuuza ngano nje ya India hii ni ili alinde bei ya ndani ilio kuwa inaanza kupanda.

Sasa je Tanzania na India nani ni Bepari?nani anajua biashara? Nani analima kibiashara? India waliona hawawezi au hawana ngano ya Serikali ya kuachia sokoni hivyo bora wapige marufuku kuuza ngano nje.

Indonesia mwaka jana huo huo alizuia au aliweka limiti ya kiwango cha mafuta ya mawese kitakacho uzwa nje ili alinde bei ya watumiaji wa ndani.

Bashe anakuambia hawawezi zuia kuuza nafaka nje yes ni kweli lakini je wana nfaka ya kuweza kuingizwa sokoni ili kulinda walaji wa ndani? Maghala ya Serikali yana kiasi gani cha nafaka? Kwa nini isiachiliwe sokoni?

Bashe na CCM wana advantage ya kutawala mazezeta aka Maiti, ndio maana wanafanya wanavyo taka, wanajua fika hata bei ya mchele ikafika 10, 000/ hakuna kitu raia wanaweza fanya hio tu ndio inayo wapa nguvu na si kingine.

Kama serikali inaona wakulima wauze kokote kule basi pia iwe na nafaka yake, ya kusapoti walaji, Serikali nyingi Duniani huwa zinahakikisha kwanza raia wake wanapata chakula kwa bei ya chini kabisa. Make chakula kikipanda bei kama mikate basi inaweza tokea Mapinduzi.

Bashe amekuwa anampotosha sana Mama na alisha ona pia Mama ni mweupe kwa mambo mengi ndio kwanza anazidi kumpotosha, angalia swala la Mbolea.
Kwanza nikuonye mtoa hoja usiwaite watu zezeta au maiti. Unakosea sana.
Pili nakubaliana na hoja yako. Kwa kweli bashe na yule ndugu yake makamu mwenyekiti ccm bara hawako sahihi kufikiri eti utaruhusu wakulima kuuza mavuno nje ya nchi bila udhibiti. Matokeo yake ni mavuno yote kwenda nje na uhaba wa chakula kutokea na bei kupanda.
Na ukiruhusuchakula kuuzwa tu nje je mamlaka ya akiba ya chakula itanunua kwa bei gani? Ishindane bei na hao walanguzi kutoka nje wanaokuja moja kwa moja mashambani kwa wakulima nchini kwetu? Hiyo ndio liberalisation gani ya masoko isiyozingatia mahitaji ya ndani?
 
Sure ndugu mimi mkulima sikuwai huza soko la nje silijui na mzigo mkubwa nilishautembeza kitambo kwa bei ya kawaida nashaa asaivi nasingiziwa nauza mzigo nje kwa bei iliyotukuka wakati hapo ni dhaili wafanya biashara walilangua sasa wanauza kwa bei hiyo hapo watu wanajizima data ety wanamfuta jasho mkulima wakati hapo hata mtoto wa miaka miwili adanganywi wanaofutwa jasho asaivi ni wafanya biashara wakulima wanauziaga mzao shamba tena kwa kipind kile ni mengi uwez pata bei nzuri
Sasa hapo shida ni serikali au ni upumbavu wako ? Kwani kuna mtu aliye kushikia bunduki kurazimisha kuuza hayo mazao yako kwa bei ndogo?

Sijui hii tabia ya kupenda kuishi kwa kubembelezwa kama watoto itaisha lini.

Yaani watoto uwazae kwa laha na sababu zako ila unataka uwalishe kwa jasho la watu wengine?
 
Mimi na kaya yangu huku Sumbawanga tukilima hatufikirii kaya iliyo labda Mara huko itafaidika vipi na chakula tunacho zalisha.

Kama mahindi kuuzwa nje kupitia wafanya biashara, wengine mnawaita wajanja kunaniongezea kipato zaidi kwangu mimi ni jambo la heri.

Wanaotaka serikali izuie mahindi kuuzwa nje, waitake pia serikali kufidia hasara lwa wakulima kwa bei ndogo zinapojitokeza.

Hapo utaona ni jambo gumu sana.

Tusiwachukulie wakulima kama kundi la kuwapa nafuu watu. Wakulima nao wanahitaji maisha bora.
 
Hapo unakuta wakulima wa India wanapokea ruzuku mbalimbali kutoka serikalini na ikiwemo mikopo

Tujiulize sasa wakulima wetu wa bongo nani huwasaidia?
 
Mnapolilia bei ya nafaka iwe chini au kuwe na zuio la kuuza nafaka nje ya nchi muungane pia na wakulima kudai haki ya kuuziwa pembejeo kwa bei nafuu. Yaan mkiona wakulima wanalalamika gharama za pembejeo ziko juu mnanyuti kimya alafu wakivuna mnaanza kudai haki ya kuuziwa bei rahisi. Nendeni na nyie mlime. Kunywa bia na kutapanya pesa kwa Malaya mnaweza ila chakula mnataka mje mnunue bei rahisi. Kilimo ni biashara acheni masihara yenu
 
Kulima so mchezo,naunga mkonoo vipandeee tu. Kilimo kikiwa na tija mamilioni ya watanzania wataokolewa kuliko kujali wafuga kucha na wapaka piko walio wachache...... Big up Bashe.
 
Sure ndugu mimi mkulima sikuwai huza soko la nje silijui na mzigo mkubwa nilishautembeza kitambo kwa bei ya kawaida nashaa asaivi nasingiziwa nauza mzigo nje kwa bei iliyotukuka wakati hapo ni dhaili wafanya biashara walilangua sasa wanauza kwa bei hiyo hapo watu wanajizima data ety wanamfuta jasho mkulima wakati hapo hata mtoto wa miaka miwili adanganywi wanaofutwa jasho asaivi ni wafanya biashara wakulima wanauziaga mzao shamba tena kwa kipind kile ni mengi uwez pata bei nzuri
Watu wanaandika tu bila kujua uhalisia.
Muda huu tupo huku Rufiji tunanunua ufuta ambao bado upo shambani, yaani mkulima anauza mazao yake ambayo hata kukomaa bado,halafu msimu wa minada ikifika wasiojua wanasema eti wakulima ndio wanufaika wa bei kubwa,kume wakina Majaliwa wameshafanya yao kitambo tuu.

Hii ni kwenye korosho na ufuta kwa Kusini yote, mahindi na mpunga kwa Moro,Ruvuma, Shinyanga.
 
Back
Top Bottom