Bashe ajipanga kugombea Igunga

Kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya taarifa, Bashe amepata ule wasaa aliokuwa akiutamani na ambao ulimponyoka bila yeye kutarajia-kuingia mjengoni. Vyanzo vinasema kuwa Rostam anahakikisha kuwa jimbo lile linarudi 'kwake' kupitia mtu wake wa karibu na ambaye kwa sasa ni ceo wa habari corporation. Mwenye masikio na akae mkao wa kula
Wana Jf naomba nitumie nafasi hii kusema sina NIA,UTASHI WA KISIASA,kugombea jimbo la Igunga wala Jimbo lingine lolote Tanzania zaidi ya Jimbo la Nzega mungu akinifikisha salama 2015, reason nitakua nimesaliti wana nzega,nitakua nimeenda kinyume na dhamira yangu.Kwahiyo nisema hizi tetesi si za kweli na mwisho ni mwana siasa gani ambae atafanya kosa kama HILO? Kwetu nzega nitabaki nzega nitagombea nzega nitawatumikia wana nzega.Ninawatakia Heri wote watakaoenda kugombea Igunga.Mwisho nitoe angalizo kwa wana jamvi hapa hizi lugha za kikaburu,za kubaguana kwa rangi,dini nadhani si njema sana kwa Taifa letu inawezekana aneziandika hapa jamvini haoni madhara leo basi ipo siku italitafuna Taifa letu zimeanza kujitokeza naziona hapa jamvini,nazisikia midomoni mwa wana siasa na sasa zimeanza kwenda ktk nyumba za dini,nilizoea kwetu kijijini kabila hutajwa wakati wa utani lakini sasa naona miongoni mwa wasomi na viongozi zikitajwa kwa nia ya kutugawa nadhani TUNAPOTOKA.ipo siku tutawajibishwa. Nasisitiza SIGOMBEI IGUNGA.
 
Kweli mkuu kila baada ya paragraph Wazee wangu,Wazee wangu nikabaki najiuliza lini wazee wa Igunga walimzaa MuIran.

Soma historia utakuta hao unaosema wa Iran wa huko Tabora na kwingineko pengine ni wenyeji na wana asili ya nchi hii kuliko wewe, tupe kabila yako tuichambue.
 
bashe is a young charisma politician within vijana walioko ccm,hivyo hata akigombea igunga atashinda tu huku akingojea kuchukua jimbo lake li nzega 2015........kwa wale wanaosema usomali,uuindi uarabu uelewa wao mdogo warudi shule na kusoma african philosophy.....who is african? je mwafrica unaweza mjua kwa rangi if so what about weusi walioko australia are they african also......and if its by geographical location je waarabu walioko misri ,libya,algeria are they african........these are philosophical ques before we conclude contarprateeeeeee.
 
Wana Jf naomba nitumie nafasi hii kusema sina NIA,UTASHI WA KISIASA,kugombea jimbo la Igunga wala Jimbo lingine lolote Tanzania zaidi ya Jimbo la Nzega mungu akinifikisha salama 2015, reason nitakua nimesaliti wana nzega,nitakua nimeenda kinyume na dhamira yangu.Kwahiyo nisema hizi tetesi si za kweli na mwisho ni mwana siasa gani ambae atafanya kosa kama HILO? Kwetu nzega nitabaki nzega nitagombea nzega nitawatumikia wana nzega.Ninawatakia Heri wote watakaoenda kugombea Igunga.Mwisho nitoe angalizo kwa wana jamvi hapa hizi lugha za kikaburu,za kubaguana kwa rangi,dini nadhani si njema sana kwa Taifa letu inawezekana aneziandika hapa jamvini haoni madhara leo basi ipo siku italitafuna Taifa letu zimeanza kujitokeza naziona hapa jamvini,nazisikia midomoni mwa wana siasa na sasa zimeanza kwenda ktk nyumba za dini,nilizoea kwetu kijijini kabila hutajwa wakati wa utani lakini sasa naona miongoni mwa wasomi na viongozi zikitajwa kwa nia ya kutugawa nadhani TUNAPOTOKA.ipo siku tutawajibishwa. Nasisitiza SIGOMBEI IGUNGA.

Mkuu Bashe, kwangu mimi naunga mkono hoja yako! Igunga achana nayo mkuu kazi yako ni 2015. Suala na ukabila hata mimi linaniuzi sana sina tu nguvu za kulikomesha na hii hali inatoka huko huko chamani kwenu kwani ilianza kama propaganda sasa inaanza kuzama ndani. Utasikia siku moja kukaa kwetu kishapu lazima uwe msukuma, which is not our traditions.
 
asante kwa kukanusha hili. Kuna haja gani ya kugombania fito na mjenzi mwenzio? We si utafute nyundo? Pia hili la ubaguzi siliafiki
 
Wana Jf naomba nitumie nafasi hii kusema sina NIA,UTASHI WA KISIASA,kugombea jimbo la Igunga wala Jimbo lingine lolote Tanzania zaidi ya Jimbo la Nzega mungu akinifikisha salama 2015, reason nitakua nimesaliti wana nzega,nitakua nimeenda kinyume na dhamira yangu.Kwahiyo nisema hizi tetesi si za kweli na mwisho ni mwana siasa gani ambae atafanya kosa kama HILO? Kwetu nzega nitabaki nzega nitagombea nzega nitawatumikia wana nzega.Ninawatakia Heri wote watakaoenda kugombea Igunga.Mwisho nitoe angalizo kwa wana jamvi hapa hizi lugha za kikaburu,za kubaguana kwa rangi,dini nadhani si njema sana kwa Taifa letu inawezekana aneziandika hapa jamvini haoni madhara leo basi ipo siku italitafuna Taifa letu zimeanza kujitokeza naziona hapa jamvini,nazisikia midomoni mwa wana siasa na sasa zimeanza kwenda ktk nyumba za dini,nilizoea kwetu kijijini kabila hutajwa wakati wa utani lakini sasa naona miongoni mwa wasomi na viongozi zikitajwa kwa nia ya kutugawa nadhani TUNAPOTOKA.ipo siku tutawajibishwa. Nasisitiza SIGOMBEI IGUNGA.
Mkuu tunashukuru kusikia msimamo wako na kuwa muwazi hapa JF, lakini inanishangaza sana kuona wewe kama mmoja wa vijana tunaokutegemea, imekuwaje kuwa mstari wa mbele kushikamana na Rostam hasa wakati anajiuzuru kama sii kujenga majungu zaidi! Na hizi habari za rangi na Ukabila yamekukuta ukigombea Ubunge, leo bila kujifunza unakuwa mbele wakati chama chako kimekwisha amua kujivua magamba na Rostam ambaye hakubaliki unamtandikia red carpet!..

Huoni kama unazidi kujipotezea nafasi ya kuaminiwa na wananchi, pamoja na yote ndani ya CCM watakuona wewe mnafiki? Mkuu Siasa ni mchezo mchafu inatakiwa uwe makini sana na sii kuonyesha emotions zako mahala ambapo viongozi wako wamefikia maamuzi ya kumwondoa. Rostam kaondolewa madarakani, alipewa barua na makamu mwenyekiti mzee Msekwa, hizi habari za kujiuzuru ni staha tu alopewa lakini lugha ilikuwa wazi kwamba asipojiuzuru chama kitamwondoa! haya wewe ndio kwanza huelewi!
 
Nangoja kwa shauku kwa Bashe kuijibu hii. bado nagoja.
 
kama ulivyosema ‘unadhani tunapotoka’ hatuwezi kuishi kwa dhana, mtanzania akituibia tutamchambua utanzania wake kwa mapana na marefu yake! katika uchambuzi wetu tukagundua utanzania wake anaweza kuukana akipata mbinyo tunaanzia hapo. ingekuwa vema wahindi, waarabu, wasomali ..... wenye sifa ya kuitwa watanzania wakawa watiifu kwa tanzania na wanzania wasio na sifa ya taifa zaidi ya tanzania, mpango wa kuibiwa na wahindi-watanzania, tutawafutia jina watanzania watabakia na jina wahindi ili ngoma inoge. ufumbuzi: wahindi-watz waonyane wao kwa wao na mungu awasaidie wakome kutuibia, wakome kutudhalilisha, wakome kutudharau......... kinyume chake watakua wakwanza kuimba wimbo ‘tunabaguliwaaaaaa’ wajue tunajua wao ni wakuja tu! hata wakilala wasisahau wala kujisahau. wakizingatia haya wana nafasi ya nzuri kuushiriki mkate, maziwa na asali ya tanzania.
 
RA anaweza anzisha bifu na ccm washindwe ili ionekane yeye alikuwa kidume cha igunga!
 
Wana Jf naomba nitumie nafasi hii kusema sina NIA,UTASHI WA KISIASA,kugombea jimbo la Igunga wala Jimbo lingine lolote Tanzania zaidi ya Jimbo la Nzega mungu akinifikisha salama 2015, reason nitakua nimesaliti wana nzega,nitakua nimeenda kinyume na dhamira yangu.Kwahiyo nisema hizi tetesi si za kweli na mwisho ni mwana siasa gani ambae atafanya kosa kama HILO? Kwetu nzega nitabaki nzega nitagombea nzega nitawatumikia wana nzega.Ninawatakia Heri wote watakaoenda kugombea Igunga.Mwisho nitoe angalizo kwa wana jamvi hapa hizi lugha za kikaburu,za kubaguana kwa rangi,dini nadhani si njema sana kwa Taifa letu inawezekana aneziandika hapa jamvini haoni madhara leo basi ipo siku italitafuna Taifa letu zimeanza kujitokeza naziona hapa jamvini,nazisikia midomoni mwa wana siasa na sasa zimeanza kwenda ktk nyumba za dini,nilizoea kwetu kijijini kabila hutajwa wakati wa utani lakini sasa naona miongoni mwa wasomi na viongozi zikitajwa kwa nia ya kutugawa nadhani TUNAPOTOKA.ipo siku tutawajibishwa. Nasisitiza SIGOMBEI IGUNGA.

Big up Bashe!! I salute u kwa hilo na kwa kuweka msimamo wako wazi. Umekomaa!
 
Kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya taarifa, Bashe amepata ule wasaa aliokuwa akiutamani na ambao ulimponyoka bila yeye kutarajia-kuingia mjengoni. Vyanzo vinasema kuwa Rostam anahakikisha kuwa jimbo lile linarudi 'kwake' kupitia mtu wake wa karibu na ambaye kwa sasa ni ceo wa habari corporation. Mwenye masikio na akae mkao wa kula
LINARUDI KWAKE KWA MASLAHI GANI? Sikubaliani na hoja hii.kwani kawekeza kitu gani kiasi kuwa akipata mpinzani kitaharibika? Nionavyo mimi ana hasira na yuko tayari kufinance mpinzani atwae jimbo
 
Ndg BASHE kwanza nakupongeza kwa UTASHI wako pevu wa kisiasa.Napenda kusema kuwa HAKI yako ya kuwa mbunge wa nzega imecheleweshwa tu bali hatimaye utaipata..Nakushauri kuwa kama utawekewa zengwe tena next election,hamia chama chochote makini cha siasa kwa wakati huo ili unufaike na haki yako hyo
 
bashe kuna majibu yanatakiwa humu. Mojawapo kama umeiva kisiasa kwa nini kutaka kumpora mwananzega mwenzio jimbo? Kwani umeambiwa watanzania wapo nzega tu? Au umeambiwa kigwangala hatagombea? Ni kipi ambacho watangulizi wako walishindwa kuwapa wananzega ambacho wewe unacho?
 
Umeanzisha uzushi mwenyewe kakukana sasa unataka kuanzisha uzushi mwingine give him a break
hayo unayouliza yalishajadiliwa kwa kirefu itafute thread utaipata.
 
Labda na selelii nae anaweza kuibukia huko. Tutashuhudia kambi mbili za ccm za 6 na abdulrasul kwa upande mmoja na upinzani kwa upande wa pili. Tusubirie filamu kama lile la tmk enzi za cisco
Kijana mbona unaleta mambo ya Kitchen Party! Bashe kakukana na umbea wako, saizi umeamia kwa Selelii, JF, sio sehemu ya porojo
 
Back
Top Bottom