Barua za kuthibitishwa zinachelewa kutoka

akherakwanza

New Member
Jun 19, 2020
4
6
Mimi ni mtumishi wa ummah ajira za 2022. Mpaka sasa tumeshafikisha mwaka kazini na bado hatujapewa barua za kuthibitishwa. Kuna fursa nyingi zinatokea ila barua ukifatilia unaambiwa bado msubiri.

Kwamfano hapa karibuni lilitokea shavu TIE na chuo kimoja hivi nilipata nafasi ya kuhamia kwenda kuwa "tutorial assistant" lakini nimekwama kwasababu ya barua hiyo, hata sijui nafanyaje kuipata.

Labda mwenye kujua njia mbadala ndugu wananzengo
 
July 2022 mpaka sasa naelekea miezi 15.

Muda wa uangalizi kisheria ni miezi 12
Muda wa uangalizi wamesema sio chini ya miezi? Au usizidi miezi?

Pia wame wapa mamlaka bodi ya taasisi kuchukua maamuzi, afisa au bosi wako pia nk kulingana na utendaji kazi wako

Unacho takiwa ni kuwa mpole muda utafika utapewa barua yako au kibarua chako kitaishia hapo na kuondolewa kazini

Hivyo nakusii uwe mpole barua yako utaipata tu bila shida yoyote

Wengine wana enda mpaka miezi kumi na nane! Yani mwaka na nusu

Qngalia usije wekwa kwenye kupewa barua mwakani mwezi wa saba

Pia boss wako ndio ana weza kukupa ruhusa ya kuhama au kuto kupa labda ufanye figisu nyingine ambazo wengi wana fanya
 
Mimi ni mtumishi wa ummah ajira za 2022. Mpaka sasa tumeshafikisha mwaka kazini na bado hatujapewa barua za kuthibitishwa. Kuna fursa nyingi zinatokea ila barua ukifatilia unaambiwa bado msubiri.

Kwamfano hapa karibuni lilitokea shavu TIE na chuo kimoja hivi nilipata nafasi ya kuhamia kwenda kuwa "tutorial assistant" lakini nimekwama kwasababu ya barua hiyo, hata sijui nafanyaje kuipata.

Labda mwenye kujua njia mbadala ndugu wananzengo
Kuhusu barua ya kuthibitishwa niswala la muda lazima upewe , ila kuhusu kuhama kwenda taasisi nyingine manager your expectations coz unaweza pewa iyo barua na bado boss wako akasema ayupo Tayar kukuacha kwa sasa kwenda taasisi nyingine , jambo.la msingi try kuwa vzr na boss wako kuliko kutumia nguvu nyingi kuwaza barua ya kuthibitishwa coz wengi wanazo izo barau za kuthibitishwa ila ugumu upo kwa boss kuacha uende taasisi nyingine
 
Na boss anaweza kukupa barua alafu utumishi wakampeleka mtu mwingine kule unapo taka kwenda
 
Mimi ni mtumishi wa ummah ajira za 2022. Mpaka sasa tumeshafikisha mwaka kazini na bado hatujapewa barua za kuthibitishwa. Kuna fursa nyingi zinatokea ila barua ukifatilia unaambiwa bado msubiri.

Kwamfano hapa karibuni lilitokea shavu TIE na chuo kimoja hivi nilipata nafasi ya kuhamia kwenda kuwa "tutorial assistant" lakini nimekwama kwasababu ya barua hiyo, hata sijui nafanyaje kuipata.

Labda mwenye kujua njia mbadala ndugu wananzengo
Kuhama taasisi nimpaka ufanye kazi Miaka 3 kuwa mpole kijana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom