Barua ya wazi kwa katibu tawala mkoa wa Tanga.

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
857
1,006
RAS-TANGA,

P.O BOX 5095,

TANGA.

YAH:MALALAMIKO YA KUTOLIPWA FEDHA ZA MATIBABU TANGU MWAKA 2016.

Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Mimi mtumishi wako wa Halmashauri ya Kilindi natoa malalamiko yangu kwako na naamini wewe ni mpenda haki kwa watumishi wako.

Mnamo mwaka 2016 niliugua na kupatiwa matibabu hospital za Kilindi,Bombo RH,Muhimbili.Nilipopata nafuu nikaandika barua ya madai baada ya kunitaka niwasilishe vielelezo kadhaa niliwasilisha na wakanijibu kwa barua mwaka 2016 kuwa ninastahili kulipwa shilingi 902000 lakini mpaka leo sijalipwa pamoja na kuwakumbushia mara kwa mara kwa barua na kunijazisha fomu za madai hayo kila mara.

Pia ninadai kiasi cha shilingi zisizozidi 670000 mapunjo ya mshahara tangu mwaka 2019 huu mwaka wa nne Sasa.Ni jumla ya miaka tisa nadai bila kulipwa morali itatoka wapi wakati nimetumia gharama zangu nyingine za kukopa?

Ombi langu Mh.RAS Tanga utaona barua hii na kulifanyia kazi wakati naandaa Safari yangu kwa miguu kutoka Kilindi mpaka Tanga huku nikiwa na mabango mwili mzima juu ya kilio hiki cha miaka tisa chenye dalili zote za kutosikilizwa.

Asante naomba kuwasilisha Jambo hili katika ngazi ya mkoa kuelekea ngazi nyinginezo ikiwemo Tamisemi.Naambatanisha barua hiyo.

IMG_20231209_120255.jpg
 
Mkuu usichanganye malalamiko na vitisho kwa wakati mmoja. Wewe huwezi kuitisha serikali hivyo. Malalamiko Yako , kama ni kweli, ni ya msingi. Ila vitisho vyako haviwezi kuilazimisha serikali ikupe haki Yako. Ondoa hivyo vitisho vya kutembea kwa mguu Hadi Tanga ukiwa na mabango mwili mzima kwani vinaonekana ni utani.
 
Hajatishwa mtu hapa tunaongelea ukweli usiopendwa kusemwa miaka 9 mtu humlipi una nia ya kumlipa au serikali imetoa pesa wachache wanafaidika nazo? Na kama zilitoka zimeliwa zitatapikwa nimejipanga kujitoa mhanga wa kazi yangu mpaka kieleweke.
 
Sina hakika kama kwenye barua rasimi nako kaandika hivyo.

View attachment 2837410
Kwanza inainyesha wewe ni muoga.Ungekuwa kweli wewe ni mwanauke,ungeandika jina lako.
Unakuwa jioga kama Mkuu wa Hamas,wenzake wanapigana gaza,yeye anakula filet na kuku Doha,Qatar.Wakati wenzake wanakufa na njaa.
 
Acha kuleta matani kwenye mambo serious.
 
RAS-TANGA,

P.O BOX 5095,

TANGA.

YAH:MALALAMIKO YA KUTOLIPWA FEDHA ZA MATIBABU TANGU MWAKA 2016.

Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Mimi mtumishi wako wa Halmashauri ya Kilindi natoa malalamiko yangu kwako na naamini wewe ni mpenda haki kwa watumishi wako.

Mnamo mwaka 2016 niliugua na kupatiwa matibabu hospital za Kilindi,Bombo RH,Muhimbili.Nilipopata nafuu nikaandika barua ya madai baada ya kunitaka niwasilishe vielelezo kadhaa niliwasilisha na wakanijibu kwa barua mwaka 2016 kuwa ninastahili kulipwa shilingi 902000 lakini mpaka leo sijalipwa pamoja na kuwakumbushia mara kwa mara kwa barua na kunijazisha fomu za madai hayo kila mara.

Pia ninadai kiasi cha shilingi zisizozidi 670000 mapunjo ya mshahara tangu mwaka 2019 huu mwaka wa nne Sasa.Ni jumla ya miaka tisa nadai bila kulipwa morali itatoka wapi wakati nimetumia gharama zangu nyingine za kukopa?

Ombi langu Mh.RAS Tanga utaona barua hii na kulifanyia kazi wakati naandaa Safari yangu kwa miguu kutoka Kilindi mpaka Tanga huku nikiwa na mabango mwili mzima juu ya kilio hiki cha miaka tisa chenye dalili zote za kutosikilizwa.

Asante naomba kuwasilisha Jambo hili katika ngazi ya mkoa kuelekea ngazi nyinginezo ikiwemo Tamisemi.Naambatanisha barua hiyo.

View attachment 2837410
Kwani wengine hamkuwahi kufanyiwa Orientation kuhusu Maadili ya utumishi wa Umma na How to handle Nyaraka za kiutumishi Serikalini?

Naona unavunja mipaka yako na unaweza usipatiwe chochote kwakuwa umevunja miiko ya kiutumishi..

Umevunja kanuni za Kudumu za utumishi wa Umma, na Sheria ya Ajira na mahusiano kazini umevunja pia Maaadili ya utumishi..

Jitahidi Kutenganisha Mitandao na Maisha halisii..
Mitandao isikupofushe Ukajiona una haki kuliko Haki zenyewe za kisheria..

Ulipaswa kufuata njia sahihi (Good Chain of Administration)
Una viongozi wako kazini,Kuna Tume ya Utumishi na kuna kamati za kimaadili ungepeleka tatizo lako..

Hii sio njia sahihi ya kusolve migogoro ya kiutumishi kama wewe ni senior kwenye utumishi bhasi Jua kuwa UmeMess up So Bad...

Na bado unamtisha RAS ambaye ni kiongozi wa watumishi wote Mkoa wako ambaye angeweza kukutetea kwa Mkurugenzi wako na ukapata haki zako..
Kuna kitu hakiko sawa kwako!
 
Hajatishwa mtu hapa tunaongelea ukweli usiopendwa kusemwa miaka 9 mtu humlipi una nia ya kumlipa au serikali imetoa pesa wachache wanafaidika nazo? Na kama zilitoka zimeliwa zitatapikwa nimejipanga kujitoa mhanga wa kazi yangu mpaka kieleweke.
hiyo sio lugha ya kuongea na serikali hutafanikiwa
 
Pole sana. Nakushauri Anza Tena kudai haki zako kwa kwenda kwa Hr ukitoka hapo nenda kwa Mkurugenzi. Ikishindikana lalamiko lako peleka Pccb
 
Kwani wengine hamkuwahi kufanyiwa Orientation kuhusu Maadili ya utumishi wa Umma na How to handle Nyaraka za kiutumishi Serikalini?

Naona unavunja mipaka yako na unaweza usipatiwe chochote kwakuwa umevunja miiko ya kiutumishi..

Umevunja kanuni za Kudumu za utumishi wa Umma, na Sheria ya Ajira na mahusiano kazini umevunja pia Maaadili ya utumishi..

Jitahidi Kutenganisha Mitandao na Maisha halisii..
Mitandao isikupofushe Ukajiona una haki kuliko Haki zenyewe za kisheria..

Ulipaswa kufuata njia sahihi (Good Chain of Administration)
Una viongozi wako kazini,Kuna Tume ya Utumishi na kuna kamati za kimaadili ungepeleka tatizo lako..

Hii sio njia sahihi ya kusolve migogoro ya kiutumishi kama wewe ni senior kwenye utumishi bhasi Jua kuwa UmeMess up So Bad...

Na bado unamtisha RAS ambaye ni kiongozi wa watumishi wote Mkoa wako ambaye angeweza kukutetea kwa Mkurugenzi wako na ukapata haki zako..
Kuna kitu hakiko sawa kwako!
Wewe ndio unachochea ni wapi RAS ametishwa? Acha uchochezi
 
Pole sana. Nakushauri Anza Tena kudai haki zako kwa kwenda kwa Hr ukitoka hapo nenda kwa Mkurugenzi. Ikishindikana lalamiko lako peleka Pccb
Hakuna madai yanaombwa pcccb usinitoe relini I'm so careful than the cat.
 
Sikutoi relini anayechelewesha haki ya mtu anatengeneza mazingira ya rushwa . Hii ndo tafsiri rahisi.
Ngazi ya HR na DED nilimaliza hv Sasa ni zamu ya RAS inayofuata ni Tamisemi endapo RAS atashindwa.
 
Back
Top Bottom