Barua ya sensa kwenda Oysterbay!

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,591
1,599
Guys,
Take the kids to the school from teaching of good english and speak it with speed. Now every time you laugh me that of my language is broken. tell me please my language good or bad after read the letter from the street government of oysterbay to people of oysterbay...
you will laugh....View attachment 63475View attachment 63475
 
Attachments

  • barua ya sensa kwenda oysterbay.JPG
    barua ya sensa kwenda oysterbay.JPG
    55.9 KB · Views: 281
English wito ndg yangu bora mie na Kiswahili changu maana hapo nadhani ilimchukua wiki nzima kuandika barua hiyo maana lazima iandikwe kwa Kiswahili kwanza Halafu ndio ipigwe kiinglish
Duh pole yake
Na ww hapo juu ndio umenichanganya kabisa(now ever time you me of my........
duh kazi ipo
 
kulikuwa hamna ulazima wa kuandika kwa kingereza maana inajulikana lugha yetu ni kiswahili
 
Kilaza wa mwisho huyo chairman kwani alitumwa kuandika kingreza? Sasa ukimsikia anaongea hiyo lugha utafikiri anatafuna mawe. Nenda BC kupiga brashi we kishoia.
 
Sijaona why aandike kiingeleza angenyuka kiswahili kwa wageni as long as wako Tz they had to take trouble ya kupata tafsiri au their host kuwatafsiria
 
kule kaskazini nako upande wa kutema yai bado wanapata shida sana...sasa ukichanganya na lafudhi yao ndio kabisaaaa!
 
Kilaza wa mwisho huyo chairman kwani alitumwa kuandika kingreza? Sasa ukimsikia anaongea hiyo lugha utafikiri anatafuna mawe. Nenda BC kupiga brashi we kishoia.
hapo kwenye kutafuna mawe ndio umenivunja mbavu mpaka hapa watu wananishangaa! kweli JF ni mwisho wa mambo! yaani wewe lugha ya watu wengine wanasema ni sawa na kutafuna yai we unasema kutafuna mawe...duh!
 
lugha sio tatizo,kinachotakiwa ni ujumbe uliodhamiriwa kuwafikia walengwa.hata kama kiingereza chake ni upogoupogo lakini akafikisha ujumbe,mie sioni tatizo.big up kwake!
 
Guys,
Take the kids to the school from teaching of good english and speak it with speed. Now every time you laugh me that of my language is broken. tell me please my language good or bad after read the letter from the street government of oysterbay to people of oysterbay...
you will laugh....View attachment 63475View attachment 63475

LOL,,WAPI HII DSM??AHAHAA

TAAAM,,DSM SEMA AAH DAR ES SALAAM TAAAM,,,DSM SEMAAA,, AAH DAR ES SALAAM TAAAM...!!

VIOJA KWELI KWELI..

:madgrin: :madgrin:
 
Haya sasa tuamue wenyewe tunahitaji kiingereza au Kiswahili hapo ni aibu tupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom