Barua ya Palestina kwenda Umoja wa mataifa

Nani alikuambia wapelestina ni waislam au wayahudi ni wakristo

Soma historia Ustadhat

Wapalestina sio waislam na wala hawaamini kama wewe unavyoamini story za quran

Wayahudi sio wakristo na wala hawaamini maneno ya bibilia

Wapelestina wana tamaduni zao za kuabudi hazifanani kiimani na kimatendo na uislam

Wayahudi wana abudi tofauti kabisa na ukristo unavyoamini

Hao hawapiganii mambo ya dini,Pande zote kuna raia wanaofanana kwa kila kitu ,Wameoana na kuzaliana

Hayo mahekalu ya al aqsa ni ya kwao wote ,Waliyajenga wenyewe kwa mikono ya mababu zao

Ukisikia mtu anasema wayahudi ni wakristo ana shida kichwani

Ukisikia mtu anasema wapelestina ni waislam ana shida kichwani
Siku zote Waislam tunatakiwa tusimame upande wa haki.

Imesemwa upande wa HAKI haijasemwa upande wa WAISLAMU.
Wewe ukiwa Jaji au Shahidi Muislamu unapohukumu au kutoa ushahidi, angalia haki iko upande gani bila kujali dini yako na anaehukumiwa au kutolewa ushahidi.
 
Back
Top Bottom