The Don
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,499
- 1,163
Jamani atakayeonana na huyu mzee wetu naomba amfikishie huu ujumbe tangu atuache kilimanjaro iko kenya,nyasa iko malawi,tanzanite iko kenya,tanesco inamilikiwa na low-a-sa,shekh ponda ni I.G.P,raisi anaishi airport,tanzania imetokana na muungano wa visiwa vya pemba na zimbabwe,hayo machache na mengine niliyosahau