Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,141
Nimesema sawa mbona bado povu? Unahangaika kuandika maneno mengi..Umeshinda..Wewe ni mmoja wa wale ambao mko tayari kulishwa uongo wa aina yoyote ile na mtakaa kimya na kuukubali uongo huo kwa sababu tu hamtaki kufuatilia mambo mbali mbali yanayoendelea nchini. Ungekuwa unafuatilia ungejua kwamba kesi hii iko mahakamani siku nyingi kabla ya mtukufu wa Ikulu kuingia madarakani na kusema ukweli kwamba ni uongo kutaka kumpa sifa Magufuli hakutuondoi kwenye mjadala husika. Kuwa mfuatiliaji wa mambo yanayohusu nchi yetu ili uweze kugundua uongo wa aina moja au nyingine. Na hii si ligi Mkuu kuufanananisha mustakabali wa nchi na ligi ni makosa makubwa sana.