Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,342
- 5,536
Mapambano Bado yanaendelea wenye kujitambua wanazidi kujitambue
Mapambano yanaendelea Kamanda! Uchaguzi wa Mitaa hakuna rangi wataacha kuona!
Mapambano Bado yanaendelea wenye kujitambua wanazidi kujitambue
Ni hapa wilayani Bariadi kijijini Kuduwi, katika hali ya kiukombozi uongozi wa halmashauri ya kijiji cha Kuduwi wote. Wakiongozwa na mwenyekiti wa kijiji Bw Nkumi Telemko na wajumbe 9 na wenyeviti wa vitongoji 4 wamejivua uongozi wa serikali ya kijiji kwa kujiunga na CHADEMA wakiwaambia wanakijiji watulie kwani uchaguzi unakalibia haita wadhuru sana.
Jopo lote hili limejiunga na CHADEMA pale walipofikiwa na harakati za makamanda wa CHADEMA kanda ya ziwa mashariki na uongozi wa mkoa katika Operation Jenga Simiyumakamanda hawa wamesema tumwambie Dr Slaa ahesabu ameongeza kijiji kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu.
Pia huko Bunda mwenyekiti wa Kijiji cha Nyamoko/Mahanga kata ya Mihingo (bw Werema Kyeyo) nae Karudisha kajiunga na Chadema. Na kwa mkwala kaandaa sherehe na kaahidi kuchinja ngombe kufanya tambiko la kutoka jera ya CCM.
Na mie nae andika hapa nimealikwa amesema nimpelekee katiba ya CHADEMA NA RASIMU YA Warioba.
Kuna wengine wengi wakotayari kubwaga manyanga(kutoka CCM) shida eti wanataka mpaka aje Dr Slaa. Ngoja tucheki ratiba yake kwa Makene.
CCM mlie tu.
Unazungumzia vijiji wenzao wanazungumzia mikoa na taifa jana huko kigoma uongozi wa mkoa wote umejiunga na ACT sijui kama unalijua hili.
Yaani mnafurahia wajumbe wa serikali ya kijiji kujiunga na chadema ilhali uongozi wa Ubungo, Kigoma, Tabora, Katavi nk wanahamia ACT? Kweli hizi ni akili za mataahira
Unazungumzia vijiji wenzao wanazungumzia mikoa na taifa jana huko kigoma uongozi wa mkoa wote umejiunga na ACT sijui kama unalijua hili.
Nashukuru sana kwa mkoa wa simiyu kujitambua na bado kazi inaendelea
2015 hatumtaki chenge wala cheyo
Unazungumzia vijiji wenzao wanazungumzia mikoa na taifa jana huko kigoma uongozi wa mkoa wote umejiunga na ACT sijui kama unalijua hili.
uzuri wake ni kwamba wamehamia cdm bila matumizi ya M- PESA .
lazima wakubali mwaka huu chadema ngoma nzito mwaka huu
CDM tunasonga mbele kwa kasi kubwa vijijini walipo wapiga kura.Hawa wasaliti hawana jipya kwani wamerudisha nyuma sana maendeleo ya chadema kigoma,yaani kutoka madiwani 16 hadi madiwani 2??? Hao ni mizigo bora wamejiwahi kabla hawajapigwa chini!
ntakugongea like nkifika mkuu maana dah umenisemea kamanda.
kuondoka kwa hao wasaliti ni kama mgonjwa kupona kansa , kutoka madiwani 16 hadi 2 ! Kweli usaliti ni laana .
juzi ANDREW CHENGE kazomewa , kibaka ana nafuu ! Inadaiwa aliokolewa na polisi .