Nichukue nafasi hii kumpongeza Raisi Mwai KIBAKA na wakenya wote kwa ujumla kwa hatua waliochukua kumuwajibisha Jaji Nancy Baraza kwa kile alichokifanya, kumbukeni ni takribani miaka 2 iliyopita Mh Ngereja alifanya kitendo kinachofanana na hicho kwa mlinzi wa ATM lakini hakuna hatua yoyote aliyochukuliwa, hata wanaharakati walikaa kimya.