Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,410
- 31,397
Ukiwasiliza wote hakuna anyesema muungano uvunjwe kila mmoja anazunguka zunguka.Sasa raza kwa nini asilete mswada wa kura ya maoni ili Zanzibar ijitoe kwenye Muungano?
Ili hoja za mtu ziwe na mashiko kule Zanzibar ni lazima uutaje ukristo. Vatican na muungano wapi na wapi?
Tunasubiri wabunge wa Bunge la JMT kutoka Zanzibar watamke kuwa hawataki muungano, tena wafanye hivyo wakati wa kujadili bajeti hii. Wakimaliza waondoke bungeni ili dunia ijue muungano umekufa na Wazanzibar wamedhamiria.
Tunasubiri Baraza la wawakilishi litoe tamko la kutomtambua Makamu wa Rais wa JMT aliyepatika kutokana na Uzanzibar wake.
Tunataka BLW lisitishe shughuli za barazani ili hoja ya kura ya maoni au kuvunja muungano ijadiliwe rasmi. Hii itasadia bajeti za nchi zote kuwa na uhalisia.
LET ZANZIBAR GO! GO ASAP