Baraza la mitihani Tz kutoa namba ya mtahiniwa badala ya jina ina maana gani?

Nyamwaga

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
454
116
Nasema hivi kwa kuwa miaka yote ya nyuma ilituwezesha kujuana ktk uwezo wetu darasani na ilikuwa sio rahisi kumubeba mwanafunzi asiye jiweza darasani. Sasa kwa staili hii ya kuandika no pekee inaweza kuwafanya watumishi wa Baraza kuweka hata watoto/ndugu zao ambao hawakufaulu. Au hili swala limejitokeza kwa vile mwaka jana mtoto wa Rais alikuwa wa mwisho shule nzima kwa kupata dv 4. Ili tusijue aliye faulu alikuwa na uwezo gani darasani? Naomba nifafanuliwe ili nijue kuna siri gani iko hapo.
 
walivyofanya ni sahihi ili wakosa kazi kama wewe washindwe kucheka wenzao
 
Kuweka majina inasaidia wale majuha kuvuna walicho panda. Na sidhani kama jibu lako ni sahihi kwani ukisoma unatakiwa usaidie jamii nzima sio familia yako tu. Kumbuka kodi ya watanzania ndo iliyo kusomesha. Naomba utafakari kabla.
 
Wewe huna kazi ya kufanya mpaka uangalie ya wenzako?.Fuata yako yasiyokuhusu achana nayo.Wewe ya mtu wako ulizia namba akupe usepe usituletee zako
 
Kha... inaonyesha tangu upate fahamu unaona matokeo kwa majina... miaka yote ya nyuma matokeo yanatoka kwa namba, na ujue matokeo ni siri kwa mtahiniwa na familia yake.
 
Walivyo fanya siyo sahihi kwasababu mfano» Baba yupo mbali na mwanae na anataka kuangalia matokeo ya mwanae halafu hajui namba! huku ukiangalia toto lake ni tukutu si anaweza akampa namba ya uwongo sasa itakuaje hapo!!!
 
Hii iko sawa kabisa kuna mijitu kazi yao kufatilia matokeo ya watoto wa wenzao ili wapate la kuongea, safi sana wizara.
 
Hii iko sawa kabisa kuna mijitu kazi yao kufatilia matokeo ya watoto wa wenzao ili wapate la kuongea, safi sana wizara.
 
Nasema hivi kwa kuwa miaka yote ya nyuma ilituwezesha kujuana ktk uwezo wetu darasani na ilikuwa sio rahisi kumubeba mwanafunzi asiye jiweza darasani. Sasa kwa staili hii ya kuandika no pekee inaweza kuwafanya watumishi wa Baraza kuweka hata watoto/ndugu zao ambao hawakufaulu. Au hili swala limejitokeza kwa vile mwaka jana mtoto wa Rais alikuwa wa mwisho shule nzima kwa kupata dv 4. Ili tusijue aliye faulu alikuwa na uwezo gani darasani? Naomba nifafanuliwe ili nijue kuna siri gani iko hapo.

Ili usimdhalilishe mwanaasha kama ulivyo fanya mwaka jana hahahahahaha
 
Walivyo fanya siyo sahihi kwasababu mfano» Baba yupo mbali na mwanae na anataka kuangalia matokeo ya mwanae halafu hajui namba! huku ukiangalia toto lake ni tukutu si anaweza akampa namba ya uwongo sasa itakuaje hapo!!!

Baba utashindwa muuliza mwanao namba yake ya mtihani??? Au mwanao wa kufikia huyo?
 
Ni utaratibu mzuri tu. Watauzoea hata wakienda Vyuoni (vingi vinatumia namba badala ya majina kwenye mitihani yao)!
 
Hii iko sawa kabisa kuna mijitu kazi yao kufatilia matokeo ya watoto wa wenzao ili wapate la kuongea, safi sana wizara.
Hii ni kuepuka ulalamishi wa Taasisi za Kiislamu wanaodhani kila anayeitwa Juma ni Muislamu, ila majini ya shule hayana kificho, shule za kanisa ndio zipo kwenye Top ten, na zile za Taasisi za kiislamu zipo kwenye top failure
 
Nasema hivi kwa kuwa miaka yote ya nyuma ilituwezesha kujuana ktk uwezo wetu darasani na ilikuwa sio rahisi kumubeba mwanafunzi asiye jiweza darasani. Sasa kwa staili hii ya kuandika no pekee inaweza kuwafanya watumishi wa Baraza kuweka hata watoto/ndugu zao ambao hawakufaulu. Au hili swala limejitokeza kwa vile mwaka jana mtoto wa Rais alikuwa wa mwisho shule nzima kwa kupata dv 4. Ili tusijue aliye faulu alikuwa na uwezo gani darasani? Naomba nifafanuliwe ili nijue kuna siri gani iko hapo.

Nashauri hata majina ya shule yafichwe kuzuia walalamishi!!!! ambao mara kwa mara wanachanganya habari mara oooh wanapendelewa ooooh angalia shule za dini fulani ndiyo vinara kila mara, kila mtu aone matokeo yanayomhusu kutoka shule inayomhusu!!!!
 
Hii iko sawa kabisa kuna mijitu kazi yao kufatilia matokeo ya watoto wa wenzao ili wapate la kuongea, safi sana wizara.

Kama toto lako halina akili halina tu na haziwezi kuongeza kwa kuficha matokea yake.
 
Back
Top Bottom