Baraza la mawaziri kuvunjwa. Mwakyembe, Mwandosya kutoswa

Pamoja sana hapo kwenye waziri mkuu. Jamaa yuko strong sana. Tatizo liko kwa raisi

Mkuu ukiona mwanasiasa anaambatana na waandish wa habari ujue kuna kitu hapo. Kuna watendaji wazuri sana ndani ya serikali ama mawziri lakini wao wako kimya kimya wanatekeleza majukumu yao kwa weledi!
 
Baada ya kumfukuza Nyoni, nafikiri it is high time baraza nalo likabadilika jamani, mimi napendekeza ifuatavyo!
15 ministries only
1 Ikulu - Dr Mary Nagu
2 Vice President- Muhamad Seif, rudisha huyu jamaa anaweza
3 PM- Mwanri
4 Fedha- Nyalandu
5 Energy, minerals and water- Makamba
6 Foreign and EA -Membe
7 Health- Dr. Mwinyi (Huyu ni MD)
8 Education and vocational- kawambwa
9 Home affairs, defence and national Service- Nahodha- ya muungano hii
10 Industry, trade, youth, sports and culture- Dr. Mathayo David
11 Tourism-Maige
12 Agriciulture, livestock, fisheries- Sitta
13 Works and transport- Magufuli
14 Lands and setlement- Tibaijuka
15 Justice and Const-Dr. Asha Rose Migiro -she is coming home!
hapa utabana matumizi sana, gari mwisho naibu katibu mkuu na siyo VX, wale wengine wape mikopo na fuel allowance, matumizi ni makubwa sana serikali ni maskini.
JF this is just a dream! I wish it could be like this wamalizie kabla hatujaingia sisi wenyewe. Wala msikubali kuchanganyika wacha wamalizie wenyewe kwa wenyewe.

Mkuu naona hufahamu vyema mambo ya miundo ya serikali hasa katika nchi zetu hizi. Wizara ya Ulinzi ukiiunganisha na Mambo ya Ndani utaleta kichefuchefu. Jeshi huwa halikubali kuunganishwa na Polisi Mkuu. Angalia upya.

Hiyo Wizara ya Makamba itakuwa kubwa mno mkuu. Mambo ya nishati ni muhimu yakichanganywa na maji na madini itakuwa ngoma nzito.

Mkuu kwa mujibu wa Mkataba wa uanzishaji wa Jumuiya ya Afrika MAshariki kila nchi inatakiwa iwe na Waziri anayeshughulikia Mambo ya Jumuiya tu na siyo kuchanganywa na wizara nyingine. Hivyo basi Waziri wa Afrika Mashariki lazima awepo.
 
Works and Transport? Duh!Mdau mbona naona hiyo wizara inakazi mbili tofauti kabisa?Halafu sijaona ya miundombinu au ndiyo usafirishaji humohumo?
 
Aunde timu mpya kabisa na waziri anayestahili kubaki ni Magufuli tu

Nakuombea upate nafasi japo ya wiki moja ya kufanya kazi na Magufuli halafu uje hapa utuambie. Unaweza usiamini, lakini Magufuli ni popularlist tu ila is a very poor manager!
 
Yaani fisadi kama Nyalandu ndio umuweke kule kwenyewe kabisa!! makamu wa rais hateuliwi ni mgombea mwenza wakati wa uchaguzi mkuu ndugu acha ndoto za ugimbi hizo!!

Wakuu mko nyuma..hamjui makamu wa Rais ana wizara?kwasasa yupo Samia Suluhu na hayo ni mapendekezo yake kama unayo ya kwako weka ok?.Acheni kubeza
 
Pamoja sana hapo kwenye waziri mkuu. Jamaa yuko strong sana. Tatizo liko kwa raisi

Hakusema waziri mkuu awe Mwanry ila waziri ofisi ya waziri mkuu(pm) au wanaita TAMISEMI kuweni na weledi msikosoe kabla hamjaelewa.
 
Nakuombea upate nafasi japo ya wiki moja ya kufanya kazi na Magufuli halafu uje hapa utuambie. Unaweza usiamini, lakini Magufuli ni popularlist tu ila is a very poor manager!
Natofautiana nawe, labda ungesema ni poor leader, kwenye umeneja nadhani anawazidi wenzake!
 
Wizara ya Mali asili mbona haipo au ndio hiyo ya "Tourism"? Pia sioni Wizara ya TAMISEMI iatashugulikiwa na Wizara ipi?
 
Baada ya kumfukuza Nyoni, nafikiri it is high time baraza nalo likabadilika jamani, mimi napendekeza ifuatavyo!
15 ministries only
1 Ikulu - Dr Mary Nagu
2 Vice President- Muhamad Seif, rudisha huyu jamaa anaweza
3 PM- Mwanri
4 Fedha- Nyalandu
5 Energy, minerals and water- Makamba
6 Foreign and EA -Membe
7 Health- Dr. Mwinyi (Huyu ni MD)
8 Education and vocational- kawambwa
9 Home affairs, defence and national Service- Nahodha- ya muungano hii
10 Industry, trade, youth, sports and culture- Dr. Mathayo David
11 Tourism-Maige
12 Agriciulture, livestock, fisheries- Sitta
13 Works and transport- Magufuli
14 Lands and setlement- Tibaijuka
15 Justice and Const-Dr. Asha Rose Migiro -she is coming home!
hapa utabana matumizi sana, gari mwisho naibu katibu mkuu na siyo VX, wale wengine wape mikopo na fuel allowance, matumizi ni makubwa sana serikali ni maskini.
JF this is just a dream! I wish it could be like this wamalizie kabla hatujaingia sisi wenyewe. Wala msikubali kuchanganyika wacha wamalizie wenyewe kwa wenyewe.

tatizo makatibu wakuu
 
Hapo kwa Waziri Mkuu Mwanri nakupa 100%. Wengine uliowataja ni wazuri, kama Magufuli, Sitta, Tibaijuka, vinginevyo wengi wao substitutes zao zimejaa tele ndani na nje ya bunge.
 
Hizi ndoto nyingine bwana Paka Yesu arudi! Namni wakumshauri Vasco kuunda baraza dogo la mawaziri ?wakati anatakiwa kunywa chai Jobagi na chakula uk kulala USA.
 
[/QUOTE]15 ministries only
1 Ikulu - Dr Mary Nagu
2 Vice President- Muhamad Seif, rudisha huyu jamaa anaweza
3 PM- Mwanri
4 Fedha- Nyalandu
5 Energy, minerals and water- Makamba
6 Foreign and EA -Membe
7 Health- Dr. Mwinyi (Huyu ni MD)
8 Education and vocational- kawambwa
9 Home affairs, defence and national Service- Nahodha- ya muungano hii
10 Industry, trade, youth, sports and culture- Dr. Mathayo David
11 Tourism-Maige
12 Agriciulture, livestock, fisheries- Sitta
13 Works and transport- Magufuli
14 Lands and setlement- Tibaijuka
15 Justice and Const-Dr. Asha Rose Migiro -she is coming home!
[/QUOTE]

Hiyo analysis yako sijui umebase wapi. Kuna Mawaziri hawapaswi kuonekana hapo kabisa. Kwani hakuna wengine wanaofaa? Nyalandu - waziri wa fedha, you must be joking hawezi hata ukuu wa wilaya. Huyu jamaa ni ubishoo tu si mtendaji kabisa. Kutwa kucha vi'message' kwenye facebook anafanya kazi saa ngapi especially kama ni waziri mwenye dhamana ya wizara ukitilia maanani waziri husika ni mgonjwa yuko on and off.
Nagu toka 1995 ni waziri amefanya nini cha kujivunia?
Kawambwa ambaye kila wizara aendayo ni mzigo. Nadhani ni waziri ambaye amehamishwa wizara nyingi kuliko waziri mwingine yoyote, kwanini unataka arudi?
Mwinyi na madudu yote aliyofanya bado unataka aendelee kwa faida ya nani? Alishawahi kuwa naibu waziri afya, amefanya nini cha maana? kuwa MD sio sababu.

Nawasilisha.
 
Baada ya kumfukuza Nyoni, nafikiri it is high time baraza nalo likabadilika jamani, mimi napendekeza ifuatavyo!
15 ministries only
1 Ikulu - Dr Mary Nagu
2 Vice President- Muhamad Seif, rudisha huyu jamaa anaweza
3 PM- Mwanri
4 Fedha- Nyalandu
5 Energy, minerals and water- Makamba
6 Foreign and EA -Membe
7 Health- Dr. Mwinyi (Huyu ni MD)
8 Education and vocational- kawambwa
9 Home affairs, defence and national Service- Nahodha- ya muungano hii
10 Industry, trade, youth, sports and culture- Dr. Mathayo David
11 Tourism-Maige
12 Agriciulture, livestock, fisheries- Sitta
13 Works and transport- Magufuli
14 Lands and setlement- Tibaijuka
15 Justice and Const-Dr. Asha Rose Migiro -she is coming home!
hapa utabana matumizi sana, gari mwisho naibu katibu mkuu na siyo VX, wale wengine wape mikopo na fuel allowance, matumizi ni makubwa sana serikali ni maskini.
JF this is just a dream! I wish it could be like this wamalizie kabla hatujaingia sisi wenyewe. Wala msikubali kuchanganyika wacha wamalizie wenyewe kwa wenyewe.
Wapi MINISTRY OF LABOUR AND EMPLOYMENT???? au we uoni umuhimu wake??? hii ni Wizara nyeti sana since Indipendence au umeifix kwa Magufuli???
 
Baada ya kumfukuza Nyoni, nafikiri it is high time baraza nalo likabadilika jamani, mimi napendekeza ifuatavyo!
15 ministries only
1 Ikulu - Dr Mary Nagu
2 Vice President- Muhamad Seif, rudisha huyu jamaa anaweza
3 PM- Mwanri
4 Fedha- Nyalandu
5 Energy, minerals and water- Makamba
6 Foreign and EA -Membe
7 Health- Dr. Mwinyi (Huyu ni MD)
8 Education and vocational- kawambwa
9 Home affairs, defence and national Service- Nahodha- ya muungano hii
10 Industry, trade, youth, sports and culture- Dr. Mathayo David
11 Tourism-Maige
12 Agriciulture, livestock, fisheries- Sitta
13 Works and transport- Magufuli
14 Lands and setlement- Tibaijuka
15 Justice and Const-Dr. Asha Rose Migiro -she is coming home!
hapa utabana matumizi sana, gari mwisho naibu katibu mkuu na siyo VX, wale wengine wape mikopo na fuel allowance, matumizi ni makubwa sana serikali ni maskini.
JF this is just a dream! I wish it could be like this wamalizie kabla hatujaingia sisi wenyewe. Wala msikubali kuchanganyika wacha wamalizie wenyewe kwa wenyewe.

Mkuu hapo penye red siungi mkono hoja. Kwanza, Nyoni alikuwa Katibu Mkuu - hawezi ku-affect baraza la mawaziri. Labda ungesema Mponda akijiuzulu, hapo effect itakuwepo.

Pili, nafasi ya Vice President sioni kama inatatizo maana ni butu tu kuanzia kwenye katiba. Hata ikibaki wazi kabisa, no effect.

Membe - hafai. Hajui kusoma nyaraka za serikali, anakurupuka kusemea Tanzania kuwa haiwezi kuridhia haki za mashoga huku tayari Tanzania ilisharidhia haki zao tangu 2009 kupitia Mkakati wake wa Taifa wa kinga ya VVU/UKIMWI 2009-2012.

Kawambwa - elimu imemshinda. Hata nyaraka muhi mu za serikali anafanya naibu wake. Its as if he is not there. He is a poor leader.

Maige - Huyu aliruhusu wanyama pori wetu kusafirishwa kwenda nje wakiwa wazima. kuna ufisadi mwingi sana kule, naye ni sehemu yake. Hapaswi kubakia pale.

Migiro - Anafaa tena kwa nafasi hiyo. Lakini sidhani kama kwa siasa hizi za Tz Jk anaweza kumpatia hapo. Anaogopa asijechonganishwa na wananchi kwani JK anamtaka Migiro apeperushe bendera ya CCM mwaka 2015.
 
Back
Top Bottom