Baraza la mawaziri kuvunjwa. Mwakyembe, Mwandosya kutoswa

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Tetesi kutoka katikati ya sebule la bro wa magogoni zinasema yuko mbioni kupangua baraza la mawaziri wakati wowote kuanzia sasa. Katika upanguzi huo mawaziri wote wenye matatizo ya afya kuwekwa kando huku sura za vijana zikitawala zaidi. Inasemekana Mh EL naye mara hii anaweza kuambulia chochote.....
 
Duh! Leo lini...!!!!!!!?????
 
hivi EL naye ni kijana?......................au JK anataka kumeza matapishi yake?
 
tetesi mwisho huwa ni kweli

kwani Gazeti la mwanahalisi lilishatoa habari hii kitambo sana,sasa mda si mrefu litaiva,kwani tupo watu wa aina tofauti,kuna wale waliokaribu na magogoni na sisi tulio mbari na magogoni so TETESI mwisho itakuwa kweli tu
 
Mletaji kaja na tetesi jamani, siyo kila kitu peleka huko! Utakuwa ujinga. Tetesi si zinaruhusiwa jamani. Lisemwalo lipo.
 
Back
Top Bottom