Duh! Leo lini...!!!!!!!?????
Ahaaaa....!!! Nshaelewa sababu.
Uko pouwa jk?
Tarehe 1 April
Sijaelewa!
hiki kipande kimeondoa credibility ya hoja yako.Inasemekana Mh EL naye mara hii anaweza kuambulia chochote.....
Mkuu nepi ndo nani,ufafanuzi kidogoNa mi nina tetesi nepi anahamia CHADEMA mazungumzo na viongozi wa cdm yamekamilika
Msafara wa Mamba na Kenge wamo!Future ya JF kama HOME OF GREAT THINKERS iko wapi???
Jk hujaelewa nini tena hapo? Huoni kwamba jamaa atakua ameamka nazo? (natania tu!)
kwa jinsi dunia ilivyo kama kijiji kwa sasa; wala siwezi kudharau tetesi hizi: maana tuliambiwa tetesi nyingi tu lakini baadae zikawa kweli; mfano:
1. tetesi 2005: JK kumteua EL kuwa waziri mkuu-ikawa kweli
2. tetesi: mwakyembe mgonjwa ngozi yake yaharika vibya-ikawa kweli
3. tetesi: mabilioni yaibwa BOT kupitia akaunti za madeni ya nje (EPA)-Pamoja na serikali kukana lakini hatimaye ukweli umedhihrika
4. tetesi: posho za wabunge zapanda kinyemela kutoka 70,000-200,000-hatimaye wenye mamlaka wamekiri uwepo wa dhamira hiyo
je kwa nini tuipuuzie tetesi hii?
Hii ni stori iliyokuwa kwenye gazeti la Mtanzania juziNahisi kama vile umeota hiyo bro af ulilala sebuleni
Na mimi nimepata tetesi kuwa Nyerere kafufuka ila ameng'ang'ania kuishi Kenya. Sijui kwanini huyu mzee ameichukia Tz hivi.[/QUOTE]
Hapo kwenye red kuna mwandishi wa habari mmoja alimuuliza swali hilo na yeye akajibu kuwa wakati yuko madarakani haka kanchi kalikuwa kananukia lakini hivi sasa kananuka.