Baraza Kuu la UVCCM lamkataa Mizengo Kayanza Peter Pinda

Ukisoma vizuri hapo juu,Kuna waliotujengea Vitega Uchumi vya maana lakini wameshindwa kuwaona hao wanatuletea majina ya watangaza nia wa Uingereza na wa maembe.QUOTE=Tabby;11084158]Ninachokiona hapa, ni kwamba rushwa ya lowasa imekuwa kubwa kuliko ya pinda. Labda aongeze dau watam support kwenye uraisi.

Ccm Rest In Pieces![/QUOTE]
 
Salaam, kumekua na maneno mengi ya upotoshwaji kipindi hiki dhidi ya Mh. Pinda,yote yanatokana na hofu ya Lowassa na watu wake, Baraza kuu la umoja wa vijana halijajadili wala kuongelea swala la unaibu kamanda na wala halijafikishwa kwenye baraza kuu la vijana ni upotoshaji na uoga wa watu wa lowassa kutoka kukubalika kwa Pinda na kuonekana vijana wanamkubali na wanaweza kumpendekeza kuwa Naibu kamanda.
1) kama ukamanda UVCCM Taifa unauwezo wa kumpa mtu Urais basi mzee Kingunge angekuwa rais
2) Wajumbe wa baraza Kuu Taifa( Jumuiya zote ) hawaingii kwenye kikao cha kuweza kumtetea,kumzungumzia mgombea yeyote yule aliyetoswa na Chama.
Bali huingia kwenye kikao kimoja kinachowataka kuchagua mmoja kati ya watatu watakaofikishwa kwenye mkutano mkuu.

Hivyo kama kuna wajumbe wenye nguvu za kumjenga, kumuokoa ama kumtetea mgombea yeyote yule ni Kamati Kuu" CC" na "Nec"

Hivyo ni busara kutorubuni wasiojua wakati sote tunajua ukweli.

Ugawaji wa milioni 50!!
Haiingii akilini bali inadhihirisha ni kwa namna gani aliejitahidi kusambaza uvumi huo dhahifu amefirisika kifikra na ni mgeni hata wa kumiliki milioni moja.

Mbio za Urais ndio kwanza zimeanza, wenye vikao na wenye kura za maamuzi watathibitisha wanaemtaka.
 
Mi nadhani viongozi safi ni wale ambao hawapo kusikika ktk makundi hao kn Edo...na pinda tayari iwe disqualification kuna watu wengi nchii wanaweza kuiongoza na ni maskini hawana fedha za kugawana.
 
Na Hawa kwanini wataje Bashe na Fred Lowassa wakati wao wako mbali na hili sakata? Acheni kuogopa vivuli vya watu wengine.
 
Hata hvy nafasi zote alizopita na hata hii aliyopo ni za kipewa hana maamuzi kiongozi huyu!

Twilumba,

Huyu Pinda si ndiye aliyesema WAPIGWE TU TUMECHOKA au kuna mwingine??? Huyu jamaa hakika anastahili adhabu hii. Vijana wamekula 50m yake na kaambulia patupu! Mimi najiuliza hivi: Kama huyu Pinda kaweza kutoa RUSHWA ya TZS 50m kwa Unaibu Kamanda tu wa UVCCM(T), Je, atatoa ngapi kwenye kinyang'anyiro cha Urahisi??? Na Je, hii pesa wanaitoa wapi kama siyo fueza yetu iliyoporwa kwenye Akaunti ya Escrow????

Mbona mwaka huu na mwaka kesho tutashuhudia vihoja ndani ya ma-CCM na Magamba yao??? Tusubiri.
 
After all kuwa kamanda wa uvccm hii yenye makundu,njaa,ubinafsi wa daraja la kwanza ni ushenzi wa kiwango cha juu kabisa...so mh pinda shukuru kwa hilo!
 
Salaam, kumekua na maneno mengi ya upotoshwaji kipindi hiki dhidi ya Mh. Pinda,yote yanatokana na hofu ya Lowassa na watu wake, Baraza kuu la umoja wa vijana halijajadili wala kuongelea swala la unaibu kamanda na wala halijafikishwa kwenye baraza kuu la vijana ni upotoshaji na uoga wa watu wa lowassa kutoka kukubalika kwa Pinda na kuonekana vijana wanamkubali na wanaweza kumpendekeza kuwa Naibu kamanda.
1) kama ukamanda UVCCM Taifa unauwezo wa kumpa mtu Urais basi mzee Kingunge angekuwa rais
2) Wajumbe wa baraza Kuu Taifa( Jumuiya zote ) hawaingii kwenye kikao cha kuweza kumtetea,kumzungumzia mgombea yeyote yule aliyetoswa na Chama.
Bali huingia kwenye kikao kimoja kinachowataka kuchagua mmoja kati ya watatu watakaofikishwa kwenye mkutano mkuu.

Hivyo kama kuna wajumbe wenye nguvu za kumjenga, kumuokoa ama kumtetea mgombea yeyote yule ni Kamati Kuu" CC" na "Nec"

Hivyo ni busara kutorubuni wasiojua wakati sote tunajua ukweli.

Ugawaji wa milioni 50!!
Haiingii akilini bali inadhihirisha ni kwa namna gani aliejitahidi kusambaza uvumi huo dhahifu amefirisika kifikra na ni mgeni hata wa kumiliki milioni moja.

Mbio za Urais ndio kwanza zimeanza, wenye vikao na wenye kura za maamuzi watathibitisha wanaemtaka.

Mbio za kuboresha huduma za afya zimetelekezwa?
 
Eti umoja wa vijana wa CCM! Hivi unapokuwa kijana halafu uko CCM unakuwa na akili za aina gani? Naona mmeamua kuwatafutia watoto wenu LAANA kwa nguvu!
 
Hivi huyu hayawani asiye na haya anayeitwa sijui Paulo Makundu-uchi yuko upande gani vile??

Je, alikuwepo ukumbini! Kama alikuwepo hakuwahi kurusha kiti kwa Kigagula Kinguge Mwiru maana jamaa nasikia ana laana ya kuzaliwa ndo maana hata jina lake linafanana fanana na Muk*nd* sehemu ambayo mzazi akisalula na kukuonyesha sehemu hiyo ya kiungo cha mwili ujue kuwa hakika utakula mimavi na makopo utayaokota upende usipende!!!

Huyu jamaa nasikia hiyo laana yake kwa sasa imefikia Peak! Kwa hiyo kazi yake ni kuwashambulia vizee na vibabu wote wa CCM hasa wanaotetea Katiba Isiyopendekezwa!!!!!
 
Njia anazotumia Lowassa na Wapambe wake kujijenga kwa kuwabomoa wenzake. Ndizo zilizofanya niiondoe imani yangu kwake.
 
Eti umoja wa vijana wa CCM! Hivi unapokuwa kijana halafu uko CCM unakuwa na akili za aina gani? Naona mmeamua kuwatafutia watoto wenu LAANA kwa nguvu!

Ukijana na ccm ama ukawa wap na wap?acha usukule.kwan hzo ninitikad na unachagua bla kujali umri au dini sas kumbe unataka wote tuwe huko ulipo ili turud chama kimoja?acha mazoea.
 
Salaam, kumekua na maneno mengi ya upotoshwaji kipindi hiki dhidi ya Mh. Pinda,yote yanatokana na hofu ya Lowassa na watu wake, Baraza kuu la umoja wa vijana halijajadili wala kuongelea swala la unaibu kamanda na wala halijafikishwa kwenye baraza kuu la vijana ni upotoshaji na uoga wa watu wa lowassa kutoka kukubalika kwa Pinda na kuonekana vijana wanamkubali na wanaweza kumpendekeza kuwa Naibu kamanda.
1) kama ukamanda UVCCM Taifa unauwezo wa kumpa mtu Urais basi mzee Kingunge angekuwa rais
2) Wajumbe wa baraza Kuu Taifa( Jumuiya zote ) hawaingii kwenye kikao cha kuweza kumtetea,kumzungumzia mgombea yeyote yule aliyetoswa na Chama.
Bali huingia kwenye kikao kimoja kinachowataka kuchagua mmoja kati ya watatu watakaofikishwa kwenye mkutano mkuu.

Hivyo kama kuna wajumbe wenye nguvu za kumjenga, kumuokoa ama kumtetea mgombea yeyote yule ni Kamati Kuu" CC" na "Nec"

Hivyo ni busara kutorubuni wasiojua wakati sote tunajua ukweli.

Ugawaji wa milioni 50!!
Haiingii akilini bali inadhihirisha ni kwa namna gani aliejitahidi kusambaza uvumi huo dhahifu amefirisika kifikra na ni mgeni hata wa kumiliki milioni moja.

Mbio za Urais ndio kwanza zimeanza, wenye vikao na wenye kura za maamuzi watathibitisha wanaemtaka.

Hata ungekaa kimya kungekusaidia vile vile kuliko huu upunguani na ujuha uliokuja nao...... Kama Baraza kuu halijajadili Unaibu tupe majibu Balozi Seif Ally huo Unaibu kautia wapi??

Lakini pili Kingunge huo Ukamanda kahalalishiwa vipi??

Uko nje ya Uwanja wewe si sub waka resev hujui lolote kuhusu Baraza la Vijana tuache sisi tuliomo humu tuwapashe Watanzania yale yanayojiri humu ndani......

Kikao cha Baraza Kinaendelea muda huu......
 
Back
Top Bottom