Baraza kivuli la CHADEMA ndani ya bunge ni batili halina sura ya muungano

hivi uchina na ukubwa wake wanaviti vingapi UN ?

Kiti cha UN ni kuwakilisha Taifa
Kiti cha mbunge kinawakilisha wananchi

So idadi ya kura alizonazo mbunge wa tanzania bara inaweza kuwa mara mbili au tatu idadi ya kura alizonazo mbunge wa Visiwani
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
16/11/2010

YAH: BARAZA KIVULI LA CHADEMA NDANI YA BUNGE NI
BATILI HALINA SURA YA MUUNGANO
Ndugu
Waandishi wa habari,

Napenda kuwaeleza kwamba sura ya baraza kivuli lililoundwa na Chadema ndani ya Bunge la Jamhuri wa Muungano ni batili.

Limekuwa batili kwa sababu ya kukosa sura ya muundo wa muungano. Shulghuli zote za Bunge la Muungano ni sharti zijenge sura ya Muungano vinginevyo baraza kivuli la Chadema ni baraza kivuli la Tanzania Bara.

Kwa mantiki hiyo bado kuna nafasi kwa vyama vilivyo baki ambavyo havikuingizwa kwenye baraza kivuli la Chadema kuunda baraza kivuli mbadala litakalokuwa na sura ya muungano.

Kwa kuwa CUF ndio chama kilichokidhi sifa ya kimungano. Ni vema CUF ikatoa kiongozi wa upinzani bungeni.

Nachukua nafasi hii kumuomba Mhe: Spika wa Bunge tukufu kutoa maelekezo kuchagua baraza kivuli litakalokuwa na sura ya muungano.

Ndimi,

---------------------------------
Kom Fahmi Nasoro Dovutwa
Mwenyekiti-UPDP-(T)

Duuh ndugu mwenyekiti kwanini usiombe uungane na CUF? maana CUF sio chama cha upinzani tena hakina maana yoyote kwa mtanzania wa kawaida. Kimeshanunuliwa huko Zanzibar na CCM (Chama Cha Majambazi) kwa hiyo CUF hakitatetea hoja yoyote inayogusa mabaya yanayofanywa na serikali zaidi ya kutetea ujinga wa serikali na kuuleya. CUF ni CCM B. kwani hata Lipumba anaweza kuukwaa uwaziri au cheo chochote katika seriklai iliyochakachua matokeo.
Ndugu mwenyekiti kwanini UPDP msiingane na CCM B ili mule pamoja na Mafisadi wanayoihujumu hii nchi?
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
16/11/2010

YAH: BARAZA KIVULI LA CHADEMA NDANI YA BUNGE NI
BATILI HALINA SURA YA MUUNGANO
Ndugu
Waandishi wa habari,

Napenda kuwaeleza kwamba sura ya baraza kivuli lililoundwa na Chadema ndani ya Bunge la Jamhuri wa Muungano ni batili.

Limekuwa batili kwa sababu ya kukosa sura ya muundo wa muungano. Shulghuli zote za Bunge la Muungano ni sharti zijenge sura ya Muungano vinginevyo baraza kivuli la Chadema ni baraza kivuli la Tanzania Bara.

Kwa mantiki hiyo bado kuna nafasi kwa vyama vilivyo baki ambavyo havikuingizwa kwenye baraza kivuli la Chadema kuunda baraza kivuli mbadala litakalokuwa na sura ya muungano.

Kwa kuwa CUF ndio chama kilichokidhi sifa ya kimungano. Ni vema CUF ikatoa kiongozi wa upinzani bungeni.

Nachukua nafasi hii kumuomba Mhe: Spika wa Bunge tukufu kutoa maelekezo kuchagua baraza kivuli litakalokuwa na sura ya muungano.

Ndimi,

---------------------------------
Kom Fahmi Nasoro Dovutwa
Mwenyekiti-UPDP-(T)

inapo kuja swala lazanzibar Mtanganyika anatetea kunyanyapaliwa kwake huna haki ya kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi unguja hilo ndilo la kuhoji ile ni nchi ya watu ambayo ina koloni la tanganyika we vipi hulioni hilo?mpaka una msaliti mama yako TANGANYIKA Huwezi abadan kumlazimisha mzanzibari awakilishwe na Mtanganyika kama wewe unavyo mruhusu mpema awe diwani kwa kisingizio cha muungano huu....
 
Jamani hivi huyu Dovutwa si ndio yule mp...zi alesema wapinzani wampe kura Kikwete? Some peoples bana...Haikosi aliemtuma aseme kura apewe Kikwete ndie aliemtuma pia aseme haya maupuuzi. Kwani kuna kanuni ya bunge inayosema lazima iwe na sura ya muungano? mimi nimebahatika tu kufahamu ya kuwa chama cha upinzani chenye wabunge wengi ndicho kitaunda kambi hiyo. Kama ni tofauti nisaidieni nijue ili nipate kujastify kumtukana.......
 
Bungeni ni kanuni na sheria tu mama. Yalikushinda inabidi unyamaze huko sebuleni kwako.
 
Duh!!
watu wengine bana..sijui wamelogwa?
Yaani huyu pia alikuwa anataka Urais..mbona amejidhirihirisha kuwa opportunist tena aliyekubuhu..
Yaani safari bado ni ndefu, maana kwenye huu msafara wa mamba bado kenge ni wengi mno!!
 
..mafuta nayo yawe ya Muungano.

..wa-Zenj bwana, chao chao, chetu chao.
 
Limekuwa batili kwa sababu ya kukosa sura ya muundo wa muungano. Shulghuli zote za Bunge la Muungano ni sharti zijenge sura ya Muungano vinginevyo baraza kivuli la Chadema ni baraza kivuli la Tanzania Bara.

Pole sana kwa kutozisoma kanuni za Bunge...kuunda upinzani wahitaji 12.5% ya wabunge wote...na hiki kipengele Chadema wamekikamilisha.............hayo mengine uliyoyasema hayana nguvu za kisheria............na maoni tu......na jinsi niwaonavyo CUF kwa kujipendekeza kwa CCM sioni kwa misingi ipi Chadema iwakaribishe...........................
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
16/11/2010

YAH: BARAZA KIVULI LA CHADEMA NDANI YA BUNGE NI
BATILI HALINA SURA YA MUUNGANO
Ndugu
Waandishi wa habari,

Napenda kuwaeleza kwamba sura ya baraza kivuli lililoundwa na Chadema ndani ya Bunge la Jamhuri wa Muungano ni batili.

Limekuwa batili kwa sababu ya kukosa sura ya muundo wa muungano. Shulghuli zote za Bunge la Muungano ni sharti zijenge sura ya Muungano vinginevyo baraza kivuli la Chadema ni baraza kivuli la Tanzania Bara.

Kwa mantiki hiyo bado kuna nafasi kwa vyama vilivyo baki ambavyo havikuingizwa kwenye baraza kivuli la Chadema kuunda baraza kivuli mbadala litakalokuwa na sura ya muungano.

Kwa kuwa CUF ndio chama kilichokidhi sifa ya kimungano. Ni vema CUF ikatoa kiongozi wa upinzani bungeni.

Nachukua nafasi hii kumuomba Mhe: Spika wa Bunge tukufu kutoa maelekezo kuchagua baraza kivuli litakalokuwa na sura ya muungano.

Ndimi,

---------------------------------
Kom Fahmi Nasoro Dovutwa
Mwenyekiti-UPDP-(T)

Huyu Mwanasiasa gani asojua yanayotokea Tanzania hii. Hajui kuwa Muungano uliisha pale Zanzibar Ilipopata katiba mpya???
 
Muda wa kubwabwaja bila kanuni umekufa kifo cha mende. Wana-online forum kama sisi lazima tuonyeshe hatuhitaji kufundishwa bali tunahitaji kusoma wenyewe kanuni, na mwenye kuchukia internet ajinyonge.

Twende kwenye vifungu vya kanuni za bunge toleo la 2007 (latest) zinavyosema:

14(2):
Wabunge wote wa Upinzani wanaweza kuunda Kambi Rasmi ya Upinzani iwapo idadi yao itakuwa si chini ya asilimia 12.5 ya Wabunge wote.

14(3):
Chama cha Upinzani hakitakuwa na haki ya kuchagua Kiongozi wa Upinzani Bungeni, isipokuwa tu kama kina idadi ya Wabunge wasiopungua 12.5% ya Wabunge wote.

14(4):
Endapo kutakuwa na Vyama vya Upinzani zaidi ya kimoja ambavyo kila kimoja kina Wabunge 12.5% au zaidi, basi Chama chenye idadi kubwa zaidi ya Wabunge kuliko vingine ndicho kitakuwa na haki ya kuchagua Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, lakini, ikiwa kutakuwa na vyama viwili au zaidi vyenye idadi sawa ya Wabunge ambao ni zaidi ya 12.5%, Wabunge wa vyama vinavyohusika watachagua Kiongozi wa Upinzani Bungeni chini ya utaratibu watakaokubaliana wenyewe.

15(1):
Chama chenye haki ya kumchagua Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kinaweza pia kuchagua Naibu Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.

15(2):
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni atateua Wabunge wa Chama chake au Wabunge wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ambao watakuwa wasemaji wakuu wa Kambi ya Upinzani kwa Wizara zilizopo za Serikali.
 
Halafu nadhani huyu jamaaaa kichwa yake mbovu sana,na ikiwezekana akapimwe akili(DOVUTWA)yeye ni sisiem sasa maswala ya baraza linamuhusu nini?
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
16/11/2010

YAH: BARAZA KIVULI LA CHADEMA NDANI YA BUNGE NI
BATILI HALINA SURA YA MUUNGANO
Ndugu
Waandishi wa habari,

Napenda kuwaeleza kwamba sura ya baraza kivuli lililoundwa na Chadema ndani ya Bunge la Jamhuri wa Muungano ni batili.

Limekuwa batili kwa sababu ya kukosa sura ya muundo wa muungano. Shulghuli zote za Bunge la Muungano ni sharti zijenge sura ya Muungano vinginevyo baraza kivuli la Chadema ni baraza kivuli la Tanzania Bara.

Kwa mantiki hiyo bado kuna nafasi kwa vyama vilivyo baki ambavyo havikuingizwa kwenye baraza kivuli la Chadema kuunda baraza kivuli mbadala litakalokuwa na sura ya muungano.

Kwa kuwa CUF ndio chama kilichokidhi sifa ya kimungano. Ni vema CUF ikatoa kiongozi wa upinzani bungeni.

Nachukua nafasi hii kumuomba Mhe: Spika wa Bunge tukufu kutoa maelekezo kuchagua baraza kivuli litakalokuwa na sura ya muungano.

Ndimi,

---------------------------------
Kom Fahmi Nasoro Dovutwa
Mwenyekiti-UPDP-(T)

Dovutwaaaaaaaa.......ustaadh Fahmi (au Yahmi kwa mujibu wa NEC) nakumbuka ulisema unajitoa kugombea kwakuwa jina lako liliandikwa kimakosa na NEC "YAHMI" badala ya FAHMI. Hukuishia hapo, ukasema UNAJITOA NA KURA ZOTE AMBAZO UNGEPIGIWA HUZITAKI BADALA YAKE ULIWAOMBA WAPIGAKURA WAKO WAMPIGIE KIWETE. Sishangai ukija na hii holly CRAP. Dovutwa kwangu mimi HUNA THAMANI kama gazeti la juzi (tena gazeti la Mtanzania)
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
16/11/2010

YAH: BARAZA KIVULI LA CHADEMA NDANI YA BUNGE NI
BATILI HALINA SURA YA MUUNGANO
Ndugu
Waandishi wa habari,

Napenda kuwaeleza kwamba sura ya baraza kivuli lililoundwa na Chadema ndani ya Bunge la Jamhuri wa Muungano ni batili.

Limekuwa batili kwa sababu ya kukosa sura ya muundo wa muungano. Shulghuli zote za Bunge la Muungano ni sharti zijenge sura ya Muungano vinginevyo baraza kivuli la Chadema ni baraza kivuli la Tanzania Bara.

Kwa mantiki hiyo bado kuna nafasi kwa vyama vilivyo baki ambavyo havikuingizwa kwenye baraza kivuli la Chadema kuunda baraza kivuli mbadala litakalokuwa na sura ya muungano.

Kwa kuwa CUF ndio chama kilichokidhi sifa ya kimungano. Ni vema CUF ikatoa kiongozi wa upinzani bungeni.

Nachukua nafasi hii kumuomba Mhe: Spika wa Bunge tukufu kutoa maelekezo kuchagua baraza kivuli litakalokuwa na sura ya muungano.

Ndimi,

---------------------------------
Kom Fahmi Nasoro Dovutwa
Mwenyekiti-UPDP-(T)
Namshauri Dovutwa ajaribu kwenda Zanzibar awakumbushe wawakilishiki wasisahau pia mafuta yawe na sura ya muungano badala ya kukimbilia baraza kivuli la Chadema.
 
chadema wasifanye kosa la kuwakaribisha hao ndimilakuwili wa cuf,
waachwe waendelee na ndoa yao na ccm!
 
Back
Top Bottom