Baraza danganyifu la mawaziri

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Rais anadanganya (mfano : kuhusu Dowans, IPTL)
Makamu (sio msemaji sana so si rahisi kusikia uongo wake)
Waziri mkuu anadanganya (mfano : mauaji Arusha)
Waziri wa ulinzi anadanganya (mfano : yakilipuka tena ntaachia ngazi......)
Waziri wa nishati anadanganya (mfano : umeme na jairo)
Waziri wa fedha anadanganya (hadi anaumbuliwa na magazeti kuwa uchumi unadorora)
Waziri wa elimu keshawaongopea walimu hadi wamemzoea
Waziri wa sheria anadanganya (mfano : katiba)
Mwanasheria mkuu mdanganyifu
Waziri wa mambo ya ndani mwongo
................
...............
..............
tutaikomesha vipi hali hii?
 
Hata katibu wa baraza la mawaziri<luhanjo> muongo.Unakumbuka alidanganya suala la Jairo?Unakumbuka aliwadanganya walimu waliojiendeleza ki elimu eti wakae mkao wa kula mambo mazuri yanawajia?Jamaa wakanawa mikono kusubiri neema ije hadi sasa nadhani ni miaka miwili hamna kitu.Labda tuhitimishe kwa kusema serikali nzima ni ya kilaghai FULL STOP!
 
Back
Top Bottom