kbosho
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 13,030
- 6,559
Unataka akuvutie wewe?
Wewe unavutia kila mtu?
Unajua kuna watu wanacheka sana wanapokuona mko na huyo aliyekuvutia?
Beauty is in the beholder's eyes!. Acha maisha ya watu na tabia chafu ya ushambenga wa kishwahil kukaa mnasengenya watu koma hapa jf ni mahala pa great thinkers. Siyo watu wenye mawazo hafifu yasiyokuwa na maana kama haya!.
Hizo tabia kaa nazo huko unakoshindaga ukija hapa, ziache kando.
Kwa taarifa yako tu, that Mich Obama is one of the most stunning ladies!. Kama wewe humwoni ni sababu wewe ni tofauti na wanavyoona wengine. Na wewe hapo ulivyo kuna mtu anasema asingeweza kukutupa jicho hata kama ungebaki peke yako duniani.
Mchana mwema!
Weekend utakuwa wapi BTW?
indeed.....
ila sishangai siku hizi wenda wazimu wapo wengi sana.