Hapo kama Kitinku, karibu ya Manyoni, sina uhakika nakisia tu kwani mleta mada hajasema ni wapi kama ni hivyo basi hicho kipande kilijengwa na kampuni ya Kitanzania.
Ingawa mleta mada hajazama kwenye particulars ukweli ni kwamba barabara nyingi zilizojengwa na utawala huu na ule uliopita chini ya ufisi na ujambazi ni za muda. wamepewa ten percent na kuachia wezi wenzao watupige changa la macho.
Hapo kama Kitinku, karibu ya Manyoni, sina uhakika nakisia tu kwani mleta mada hajasema ni wapi kama ni hivyo basi hicho kipande kilijengwa na kampuni ya Kitanzania.
Barabara za nchi hii hazitakaa zidumu mpaka hapo usafiri wa reli utakapoimarishwa ili malori ya mizigo yapungue barabarani. Hata ukijenga barabara ya kiwango cha nchi zilizoendelea za ulaya na marekani bado zitaharibika kutokana na uzito kubwa wa malori ya mizigo yanayopita barabarani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.